GTs,
Baada ya safari ya Urusi, hakika niliyoyashuhudia huko, basi Dkt Samia aendelee kubakia kwenye kiti cha Urais mpaka 2040.
Cha muhimu tuanze mchakato wa kubadili katiba ya chama na ya nchi ili Dkt wetu, Rais wetu mwenye akili, uweza na uzalendo aendelee kuwa Rais wetu mpaka 2040
Bosi wewe hujaelewa, yaani hivi vitu hata wewe unaweza jiweka yaani iko hivi kukiwa na tukio siku hizi imekuwa mtindo mtu kujitangaza kwa kuambatanisha na tukio, mfano kama wakuu wa taasisi walipoalikwa Arusha kila mmoja alikuwa anajiandika nitakuwepo, hivyo usimshambulie Hamisa
GTs,
Nawaza sana wenzetu wanavyoumia kwa kukosa hewa na kibaya mitungi ya oxygen ipo pale Muhimbili, inakuwaje haijapelekwa Kariakoo kutoa hewa safi kwa wahanga waliokwama chini ya vifusi??
Sheria inaruhusu kumpelekea mteja mzigo kama ni mjini au Dar, hivyo maghaala yanaweza jengwa hata vijijinu kikubwa bodi ya stakabadhi gharani uthibitishe ubora
Nyie wakulima ndiyo hamjui. Jengeni maghala kupitia vyama vyenu vya ushirika, myasajili hayo maghala kupitia bodi ya stakabadhi ghalani. Na mnada ufanyike huko. Ila huu utaratibu wa kupeleka sijui mtakesha
Ni ujinga sana kuendekeza kuvaa nitumba. Pamba tunayo inakuwaje tuvae mitumba????? Nchi yetu imebarikiwa kila kitu unaenda kuleta nguo za marehemu na mamizimu ya wazungu shiti kabisa.
Boda boda hata Uber/bolt. Mwanzo wakati pikipiki zinaanza waendesha boda boda walikuwa vijana wahuni wahuni ila now mi bababa, mizee mingine iko na boda boda kabisa na bado hawaoni umuhimu wa kupiga kura hahah
Iko siku hawa watakuja kuitwa mashujaa wa demokrasia. Ni kama Hichilema wa Zambia. Ilikuwa hekima kumuacha mbowe aende mpaka mnazi mmoja ahutubie hata kama ni watu 5 ili tujue nguvu yake. Hahaha
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.