Ajira za walimu wa masomo ya sanaa na wengine masomo ya sayansi hakuna kuanzia mwaka 2015 up to now,, mmmmmmm hatwarii
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante,, niliomba till mwaka 2017 mwezi wa tano , ikatoka till ikauzwa na walionifanyia mpango morogoro ofisi za voda, nilipofuatilia ofisini wakapiga simu wakasema till imetoka na anaitumia mtu mwingine yuko mazimbu, wakaifungia,,sasa ikawa shida kuipata kila nikienda ofisini wananiambia kesho...
Naomba kuna kitu nijuzwe kuhusu tanesco, amesikika mara kwa mara waziri wa nishati kwamba nguzo ni bure na ni kazi ya tanesco, inachotakiwa kwa mteja ni kufanya maandalizi tu ya nyumba yake halafu anaomba umeme, swali je ni kweli nguzo bure? Swali la pili imekuwa kawaida ya tanesco kwamba...
Mm nawaza tu hapa,, km haiwezekani kuajiri watumishi wapya kwa kigezo cha kwamba wahitimu ni wengi c waajir kwa awamu, means wanachukua awamu moja baada ya miaka mitano wanamaliza, wanachukua awamu nyingine, kuliko kuwaambia vijana wajiajir wakati wao wameajiriwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.