And all in all kwa karne ya sasa mtu akisikia maendeleo kinachomjia kichwani ni pesa tu na kusahau kuna maendeleo ya vitu vingine lakin all in all juhudi za mtu binafsi ndio zinazoleta maendeleo ya mtu binafsi
Sent using Jamii Forums mobile app
Well mimi binasfi mtazamo wangu ninapoongelea maendeleo taswira inayonijia kichwani nikatika Nyanja tofauti kwanza ni kiuchumi,kiakili,kijamii apa naongela maendeleo ya mtu binafsi..nikija katika nyanja ya kiuchumi ni mtu kutoka uchumi mdogo kwenda uchumi wa kati au uchumi wa juu na nikiongele...
Ningependaa kuskia mawazo yawatu wengine kuhusinaa na hoja io na uwa napenda Msemo mmoja wa kingereza unaosema (there is no free lunch in America)kuna ukweli hapa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Vile vile mafundi majeneza unadhani kwa nini wanatengeneza majeneza hatakama awajapata wateja na pia kuna ushindani na gharama za majeneza zinatofautiana kutokana na mapambo na ubora unadhani ni kwa nn wanafanya ivo yote hayo ni kuonyesha ubora wa bidhaa zao BIASHARA NI MATANGAZO ndugu yangu...
Hahahahaha bado sipingani na ww umeona mifano niliyoiorodhesha apo juu boss .. Kwan we ujawai kuona instragm kuna watu ni waganga na anatangaza biashara zao ivo ivoo na wanapata wateja bado Niko na hoja yangu io io kiongozi BIASHARA NI MATANGAZO...
Sent using Jamii Forums mobile app
Sipingani na wazo Lako mkuu ni kweli unachokiongea na wazo lako pia ni zuri snaaa lakin hoja yangu au mtazamo wangu hapo ni kwamba watumiaji wa mitandao au izo digital platforms ni wengi snaa sijasema kwamba ndo iwe njia pekee ya kutafta marketing lakin nimesehema inasaidia kupanua soko n...
Nikweli watu wengi wamekua na nadharia tofauti tofauti kuhusiana na mitandano ya kijamii(digital platforms). Wengi wetu tunanadharia kwamba mitandao ya kijamiii ni sehemu pekee yakufanyia vurugu au kwaajili ya kuaribu maadili na tamaduni zetu bila kujua na kujali kwamba mitandao hiyo hiyo...
Nikweli kwamba watu wengi wamekua na hoja na mawazo tofauti kuhusiana na mayai mkanganyiko huu umekua mkubwa snaa wengi wanauliza kwamba je ni mayai yapi sahihi kitumia either ya kienyeji au yakisasa nikujuze kwamba kunautofauti mkubwa snaa kati ya mayai ya kienyeji na kisasa lakini pia skuizi...
Kwa mayai halisi ya kienyeji nyenye virutubisho vyote yanatoka kwa kuku wanaojitafutia chakula wenyewe yanapatikana kwa trai na kwa mojamoja trai 13000 rejareja 500 kwa mawasiliano zaidi 0717043406 kwa wenyeji wa arusha..karibuni sana
Kwa wale wakazi wa arusha karibuni snaa mjipatie mayai halisi yenye ubora, mayai haya ni kutoka kwa kuku ambao wanajitaftia chakula mwenyewe hivyo yanavirutubisho halisi kabisaa
Trai moja ni sh 13000.
Kwa mawasiliano zaidi tutafute kwa namba hizi 0717043406.
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.