Recent content by shakamohd

  1. S

    Kama ni wewe ungeliweza?

    Jamaa mmoja katika bar alisema hivi:- Jamaa: mhudumu nipe kinywaji na kila mmoja mpe kinywaji humu ndani mana wakati mimi nakunywa beer basi lazima kila mtu apate yake...... Mhudumu kwa haraka haraka akagawa vinywaji,,,,,, Jamaa akasema tena: mhudumu nipe supu nakila mtu humu ndani mpe supu mana...
  2. S

    Mwalimu v/s Mwanafunzi

    Apo hata mm sifahamu kilichotokea
  3. S

    Bakhili

    Baada ya kupasi mtihani Bakhili alimnunulia mwanawe toy car kama alivyomuahidi, mtoto akafurahi kisha akamuuliza baba yake ziko wapi batery zake? Bakhili: batery nitanunua ukipasi mtihani wa mwakani!!!
  4. S

    Mimba

    Msichana mmoja alipata mimba akiwa bado ni mwanafunzi, mama yake akamwambia hivi:- Mama: mwanangu mm si nilikwambia mtu yoyote akikushikashika maziwa umwambie "DONT". Binti: ndio mama. Mama: na kama akikushikashika mapaja umwambie "STOP". Mtoto: ndiyo mama lakini yeye alinishika vyote kwapamoja...
  5. S

    Mwalimu v/s Mwanafunzi

    Mwalimu: Maandazi matano ukitoa mawili yatabakia mangapi? Mwanafunzi: kama ukinipa na supu halibaki hata moja
  6. S

    Mwalimu v/s Mwanafunzi

    Mwalimu: Maandazi matano ukitoa mawili yatabakia mangapi? Mwanafunzi: kama ukinipa na supu halibaki hata moja
  7. S

    Pesa

    Wakat nipo hai wala sikati tamaa ipo siku
  8. S

    Tuwe tunawahi

    Hahahaaaa yani nataka kulia kwa aibu
  9. S

    Pesa

    Dah! Kama linaelekea vile hahahaaaa kweli mkuu ila nitajitahidi kujita jina langu hili hili
  10. S

    Pesa

    Safi sana ila la kwangu halibadiliki
  11. S

    Pesa

    A.k.a You can see me! Haina mbaya
  12. S

    Pesa

    Pesa chafu inaweza ikambadilisha mtu kwanzia jina tabia, mavazi (unavyovaa) mpaka mavuzi (unavyovua)
  13. S

    Pesa

    Mh.... Lakini haina mbaya mkuu
  14. S

    Pesa

    Big up (y)
  15. S

    Kama Si Mswahili Usisome Mlolongo huu!!!!

    Mimi mchina sio mswahili ila nimekosea tu kufungua hapa so chi.... chan..suuj park...kumaayoo....
Back
Top Bottom