Recent content by shak take

  1. S

    JamiiForums Tanzania Maalim Seif ahutubia umati wa wafuasi wa CUF Buguruni saa 3 usiku jana

    Mm naona hakuna kiongozi anaetaka kwadhati na haki ya mungu. Bali wote hawa ni wachumia tumbo tu. Hakuna maccm wala ukawa njaa tu. Mtanzania atajikomboa yy mwenyewe.
  2. S

    JamiiForums Tanzania Baraza la Mitihani, NECTA, Siasa inauwa elimu

    Kwanza ww unajua necta au unasikia propaganda tu. Watu wanaoijua necta watafute wakwambie. Necta haifanyi kazi unayowaza ww, na shule umeishia kidato cha ngapi ww mzazi? Usichukue maneno ya mtaani ukaleta watu wachangie
  3. S

    JamiiForums Tanzania Baraza la Mitihani, NECTA, Siasa inauwa elimu

    Wewe mzazi umechemka na mwanao muongo kwanza ww Huna mtoto umetumwa tu.
  4. S

    JamiiForums Tanzania NECTA yatoza Tshs. 15, 000 kutafsiri mtihani wa mtahiniwa

    Huyo hajaelewa ameleta mada ambayo haina ukweli kabisa!
Back
Top Bottom