Recent content by SHAID YUSUPH

  1. S

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wayahudi wanachukiwa na jamii nyingi duniani?

    Yaani unatest grammar ya kurani!!, Do you know that Kuran is text book of Grammer? ask arabs wapo wakristo huko misri na sehemu nyingine watakushangaa sana kwani hiyo lugha ya kiarabu grammer yake imetoka kwenye Kuran,language iliyotumika ni tofauti je unalijua hili.unajalibu kupima urefu...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wayahudi wanachukiwa na jamii nyingi duniani?

    Naomba niwafahamishe naona watu wanakurupukia Kuran na kutoa contradictions kwa wanasayansi hizo sio contradictions ni Contradistinctions. Ni mada ndefu lakini nitawaelimisha na wale wenye elimu watkubalina na hili. kauli zile zote ziko sawa kwa ufupi(1) imekuja kugundulika hivi kalibuli kwamba...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wayahudi wanachukiwa na jamii nyingi duniani?

    Nashangaa Tanzania ni moja ya nchi chache sana duniani ambayo inapendelea mno taifa la wayahudi ila mataifa mengi duniani yanalipiga vita kutokana na ukatili wanawafanyia binadamu wenzao hasa palestine. mataifa hata ya ulaya huwa wanwaalaani kitendo cha ukatili wanawafanyia wapelestina kumbuka...
Back
Top Bottom