Recent content by shahnaz

  1. S

    Amin nawaambia kizazi hiki hakitapita hata haya yatimie

    Asante kk yangu maneno yako mazuri na ya kweli. Mungu akubariki
  2. S

    Tatizo la sauti nyembamba kwa mwanaume mwenye umri zaidi ya miaka 21

    Nenda ka check hormones. Litakuwa ni tatizo la hormone tu.
  3. S

    Unaposhiba na una amani mshukuru Mungu

    Inaniumiza sana siku yangu imeharibika.
  4. S

    Naomba kufahamu Majipu husababishwa na nini?

    Ni kweli huwa ni mchafuko wa damu. Inanidi atumie tonic ya kusafisha damu
  5. S

    Nimeanza Kunywa mkojo leo kujitibu madonda ya Tumbo

    Si wazo zuri ndugu yangu. Jaribu kutumia haba soda na maziwa asubuhi kabla ya kula kitu. Baada ya saa unaweza kula.
  6. S

    Nifanyeje ili na mimi nionekane mtanashati?

    Kk yangu weusi si tatizo! Unaweza Kuwa unapendeza lkn ww huhisi hivyo. Pia unaweza kuonana na fashion designer mzuri akakusaidia.
  7. S

    Maziwa/Nazi hupunguza kiungulia kwenye maharage

    Asante kk Mzizi mkavu hayo ni mafundisho mazuri sana.
  8. S

    Msaada vipele ukeni

    Nenda hsptl ya vichaa kigogo. Ww si mzima itakuwa hiv virus imekula ubongo wako.
  9. S

    Msaada vipele ukeni

    Nilihisi kigogo kanikusudia mm habibty
  10. S

    Msaada vipele ukeni

    Kigogo tabia si nzuri hiyo! Hunijui sikujui!? Ajabu
  11. S

    Msaada vipele ukeni

    Usijali hakuna mchepuko kwangu.
  12. S

    Kiungulia kikali kama moto kifuani

    Pole sana ndugu. Hiyo inaweza kuwa acid reflux (kiungulia) lkn pia heart attack huleta dalili km hizo. Jaribu kutumia za kiungulia inaweza kuwa ph ya tumbo imekuwa disturbed.
  13. S

    Msaada vipele ukeni

    Vinegar unapaka kwenye warts mpaka upone. Ukubwa wa warts utakuwa unapungua siku baada ya siku.
  14. S

    Msaada vipele ukeni

    Kwa Tz sijui bei yake lkn sehemu ninayoishi mm kwa pesa za kwenu ni km elf 40. Ikiwa haikupatikana tumia tu vinegar utaona matokeo.
  15. S

    Msaada vipele ukeni

    Safi kk yangu mm nina mume na mtoto mmoja.
Back
Top Bottom