Recent content by shafii24

  1. S

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Wakuu naombeni odds za uhakika nipate nauli ya kwenda kwenye usahili
  2. S

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Hongera Sana mkuu Huwaga sicoment lakin umenipa moyo Ase umepambana hongera sana
  3. S

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    By fire by force mpaka tuingie gavo🔥
  4. S

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Hawajui ni Wizara, Idara zinazojitegemea wakala WA serikali (ministry department and agency) na local government authority. Hivyo bado unaweza kulamba asali ya nyuki wadogo tu
  5. S

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Maswali yanayotolewa ni kulingana na Kada uliyosomea hamna tofaut sana kama tulivyokua tunafanya written mwanzo except sasa hv maswali ni ya kuchagua
  6. S

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Hongereni mliolamba asali borea watoe Pdf mfululizo na wengine tufikiwe 😢 😢
  7. S

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Oya ni nomueer
  8. S

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Hivi App inafunguka kwenu kwangu inakataa shida nini?
  9. S

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Ila naona database wanachukua zaidi ya mwaka maana kuna mshkaji kapata last month na mara ya mwisho kufanya oral ni June 2022
  10. S

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Ndio wewe hujawah ona post readvirtised mfano niliona Kada moja hv
  11. S

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Usimkatishe tamaa jaman
  12. S

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Kuna PDF huko la nguvu
  13. S

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Mbona inakataa mkuu
  14. S

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Watupeleke hata huko halmashauri
  15. S

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Itakua umepangwa sehemu nyingine
Back
Top Bottom