Recent content by shafee_tz

  1. S

    Saalah (Silent Ocean): Anavyotakatisha na kutorosha pesa nchini, Uhujumu Uchumi, Kuteka na Kutesa watu, anavyolindwa na viongozi

    Hawa jamaa ni hatari kuliko mnvayowaona.. wahindiwanawajua vzuri.. kuna mhindi muajiriwa wa afr tea alishwahi kuondoka kwao na nguo hazikauka. Mtu anaondoka kachukuliwa mpaka viatu na mishahara yake yote kwenye begi anarudi kwao michozi kama yote.
  2. S

    Saalah (Silent Ocean): Anavyotakatisha na kutorosha pesa nchini, Uhujumu Uchumi, Kuteka na Kutesa watu, anavyolindwa na viongozi

    Sawa tumekuskia. Ila najua ukweli ni kwamba mwandishi hujaleta mada hii kwa sababu unataka uzalendo uwe mbele. I think its just personal.. ukila hela za watu wa kariba ya kina salaaa wana haki ya kukufanya chochte ikiwemo kukuweka kwenye magodown yao wakufunge mikamba.. huwa hawakubali mtu...
  3. S

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Dahh leo hqtari na nusu, nlikua kibandq umiza naangalia game huku naskiza rose muhando kukata pressure ya game. Fala sana dalot
Back
Top Bottom