Hii imenifurahisha sana,,, ila hii tabia ya kuuingilia show za watu ambazo zimepangwa officially,,kwa msanii haileti picha nzuri maana anajiundermine yani,,,kwa nini wasimwandalie show na yeye,,,mbali na hapo Alikiba n msanii mkubwa sana kukubali kutumika anakosea sana!!