Recent content by shadrack kasulumbay

  1. S

    Dr. Slaa Vs Lowassa Urais 2015

    Ila kusema kweli lowasa hawezi kusimama kwenye midahalo pamoja na wagombea wengne sababu huwezi jibu hoja nyingi atakazoulizwa sababu maswali ya kumuuliza lowasa ni mengi kuliko majibu tunayotegemea atakuwanayo!
  2. S

    Diamond Platnumz: Mdee ni Mzigo Jimbo la Kawe

    Hilo siyo swala kumulaumu mdee tu pengne Dada wa watu alishalipigia kelele sana swala lakini utukerezaji wa serikali yetu ya ccm ndio shida diamond angepaswa kuilaumu serikali ya magamba isiyo sikia kelele za wanachi wAke
Back
Top Bottom