Recent content by Shaddai

  1. Shaddai

    JamiiForums Tanzania Shule nzuri ya private ya day Tabata

    Tusiime ina day pia?? Ada kwa day ni sh ngap??
  2. Shaddai

    JamiiForums Tanzania Shule nzuri ya private ya day Tabata

    Habari, Natafuta shule nzuri private ya secondary iwe day. Pia mwenye contact namba za shule inaitwa Christ the king sec school na Mwenyeheri Anuarite sec school. Namba walizoweka mtandaoni hazipatikan/zimezuiliwa.
  3. Shaddai

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    naomben kujua procedures za kuhamisha mtoto kutoka shule ya kata Morogoro kwenda kata DSM
  4. Shaddai

    JamiiForums Tanzania Msaada: Natafuta shule nzuri ya Sekondari Dar es salaam

    Midlands ya Kimara vip inafaa??
  5. Shaddai

    JamiiForums Tanzania Msaada: Natafuta shule nzuri ya Sekondari Dar es salaam

    Brilliant ni nzuri au??
  6. Shaddai

    JamiiForums Tanzania Msaada: Natafuta shule nzuri ya Sekondari Dar es salaam

    Sawa, Brilliant sec school vipi?? Mana St Ann hyo ni boarding tu
  7. Shaddai

    JamiiForums Tanzania Natafuta shule ya kutwa ya O level iliyopo Kimara

    Natafuta shule ya Olevel iliyopo Kimara,nina mdogo angu form 2 nataka nimuhamishie. Mimi naishi Kimara Baruti
  8. Shaddai

    JamiiForums Tanzania Msaada: Natafuta shule nzuri ya Sekondari Dar es salaam

    Nahitaji ya Day wadau ambayo ipo Kimara au wilaya ya Ubungo
  9. Shaddai

    JamiiForums Tanzania Nifanyeje niache tabia ya kujitenga na watu?

    Naomba unitafute kwa namba 0758445646, mimi najua chanzo na suluhu ya changamoto hyo. Please naomba unitafute
  10. Shaddai

    JamiiForums Tanzania Msaada: Natafuta shule nzuri ya Sekondari Dar es salaam

    Jitegemee ni private au ni ya serikali? Je, ipo sehem gan? Mana katoto kenyewe kakike so napenda sehemu karibu na Kimara au kupanda gar moja to school
  11. Shaddai

    JamiiForums Tanzania Msaada: Natafuta shule nzuri ya Sekondari Dar es salaam

    Wadau natafuta shule ya secondary kwa ajili ya mwanangu, yupo kidato cha kwanza, kwa hapa Dar shule gani nzuri napenda asome day, nipo Kimara ada isizidi 1,400,000
Back
Top Bottom