Recent content by shabanngulungu

  1. S

    Kylian Mbappe afananishwe na akina Vinicious Jr, Bukayo Saka, Phil Foden na Gabriel Martinelli

    Pia ndugu inabidi utambue uyo uyo mbappe ,baba yake alimpeleka cameroon ili awachezee timu ya taifa lakini kiongozi alitaka rushwa( salio ) ndomana akaamua aende france Ukiwa na kipaji kikubwa unacheza nchi yoyote duniani bila kujali rangi yako
  2. S

    Kylian Mbappe afananishwe na akina Vinicious Jr, Bukayo Saka, Phil Foden na Gabriel Martinelli

    Mbappe ni mchezaji mzuri level zake ni vinicious jr na neymar hafai kufananishwa na messi au Cr7 mbappe kapata air time kubwa africa kutokana na nchi nyingi za africa zilitaka france ishinde kutokana na uhusiano wa rangi (black ) sawa na sisi
  3. S

    Mabati ya Taishan Mbeya

    430k usafiri ni bure hadi site ,pata migongo midogo na mikubwa kwa bei iyo elekezi
  4. S

    Mabati ya Taishan Mbeya

    ndugu mteja karibu kujipatia mabati ya taishan kiwandani mbeya mabati imara yanayostahimili vipindi vyote vya jua na mvua bila kupauka ○aina za mabati tuliyonayo migongo midogo migongo mipana (IT4 ,IT5) milano tiles (vigae) Usafiri ni bure hadi site ,punguzo la beimisumali lipo kwa mteja wa...
  5. S

    Je, Messi akikosa Kombe La Dunia Atakua Juu ya Cristiano Ronaldo?

    Leo messi ni bora kuliko cr7 hata wasiposhinda leo
Back
Top Bottom