Kutokana na uelewa mdogo wa serikali na kutokujali kabisa suala la upotevu wa kodi za watanzania, ipo siku serikali itaunda tume kuchunguza kwa nini tume zinaundwa kila siku. Namshangaa sn Pinda kuunda tume ya kuchunguza kwa nin form four wengi wamefeli. Sababu ziko wazi kama vile upungufu wa...
Ni kweli matokeo yatazidi kuacha simulizi nyingi! Ila lazima tujue kuwa hata matokeo ya 2013 yatakuwa mabaya kwani wanafunzi wote hawa walipita bila mchujo kidato cha pili.
Baraza la Mitihani la Tanzania limekanusha kuwa matokeo ya kidato cha nne 2012 yamechakachuliwa. Wanaosema yamechakachuliwa wanatafuta cheap popularity!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.