Recent content by Shaban Chingwalu

  1. S

    Msaada wako unahitajika hapa

    Kwahiyo madaktari humu ndani ndio tuseme mumekataa kunisaidia au?, maana muko kimya.
  2. S

    Msaada wako unahitajika hapa

    Ahsante kwa ushauri wako.
  3. S

    Msaada wako unahitajika hapa

    Ni kijana wa miaka 20,pia ni muumini mkubwa wa mazoezi ya viungo hususani mpira wa miguu, tatizo langu ni damu huwa inachanganyika na manii wakati wa kujamiana lakini nikikojoa mkojo huwa unatoka bila hata chembe ya damu na pia huwa sihisi maumivu hata kidogo, naomba kujua chanzo cha tatizo na...
  4. S

    Kwa Wale mliochaguliwa UDOM college of Humanities & social science..soma hapa

    Ahsante ndugu tuna shukuru kwa taarifa na ubarikiwe sana
  5. S

    HESLB acheni uonevu

    Mimi pia namshukuru MUNGU ada nalipa 132000
  6. S

    JKT awamu ya tatu Septemba 28, 2013

    sio kweli mimi mwenyewe nimechaguliwa chuo cha serikali lakini jina langu halipo.
  7. S

    Mnao toa taarifa za HESLB kuweni makini

    Tena bora uwaambie maana mijitu mingine haina hata haya hawajui wenzao tunapumulia mipira.
  8. S

    Ushauri kwa waliochaguliwa UDOM

    Mi nimechaguliwa Bachelor of Arts in Public Administration(BA-PA) vip wahadhiri wapo na soko la ajira lipoje?.
  9. S

    wale wa UDOM 2kutane HAPA !!!

    Mi ni Bachelor of Arts in Public Administration(BA-PA)
  10. S

    Kuna mtu yeyote aliyefungua website ya tcu na aka login

    Ndugu utauwa watu ujue wanapresha sana.
  11. S

    Bwana HESLB anakuja.!

    Tunge pata watu kumi wenye mawazo kama yako nina imani nchi yetu ingefika mbali.Haijalishi uwe nani ukienda kinyume na katiba unaburuzwa courtini tu.
  12. S

    Bwana HESLB anakuja.!

    Tunge pata watu kumi wenye mawazo kama yako na amini nchi yetu ingefika mbali.Haijalishi uwe nani ukienda kinyume na katiba unaburuzwa courtini tu.
  13. S

    Hello...

    Naomba Munikaribishe wadau.
Back
Top Bottom