Huyu mama alishapoteza muelekeo na tukimrudisha madarakani nchi itakosa muelekeo kama yeye alivyokosa muelekeo,
Rais badala ashindane kwa hoja na Gwajima yeye anatoa mipasho tunaweza tukasema tuna rais kweli hapo?
Hii nchi inatakiwa impate rais kama Gwajima hawa vilaza wengine tupa kule,
Gwajima...
Kweli chama kimekosa rais,
Haiwezekani rais anakosa hoja za kumshinda Gwajima anakimbilia kusema panga limpitie,
Mm niseme tu ukweli tukilogwa tukampitisha tena huyu mama 2025 tujue hii nchi inageuka kuwa ya makenge wanaoteka watu,
Mama hafai kabisa kuongoza hii nchi hakuna alichokifanya...
Kwa sababu Gwajima amewapiga na kitu kizito na mmeshindwa kumshinda kwa hoja ndiyo mnataka kumfukuza kwenye chama na mkimfukuza tutajua kweli mnamuogopa na alichokisema ni kweli asilimia mia,
Itabidi mtuambie muhusika wa kuteka watu ni nani kama ni kenge mkubwa au ni hawa kenge wadogo na sisi...
Acha kudanganya uma wa watu na kuchafua jina la gwajima pasipo sababu za msingi umekiri kuwa amepita shina kwa shina na unauhakika mashina yapo mengi kwenye Jimbo la Kawe yawezekana shina lenu bado halijafikiwa umeshaanza kuleta porojo zisizo za kweli, nakushauri tafuta hoja yenye msingi ndiyo...
Wewe ni kiongozi. Unaona watu unaowaongoza wanalalamikia uvunjifu wa katiba, kanuni, miongozo, na taratibu ambazo wewe kiongozi kwa viapo vyako na ahadi yako kwa CCM uliahidi kuvilinda, kuvitetea, na kuvihifadhi.
Mheshimiwa Rais anasisitiza haki, lakini wewe husikii; umeweka pamba masikioni...
Kwanza kabisa ni vyema unaposoma huu uzi upanue uelewe wako na kiwango chako cha kuyaangalia mambo kwa mapana na marefu.
Kwa miaka miwili mpaka mitatu sasa kumeibuka wimbi kubwa la vijana wachekeshaji (comedian) kila kona ya Tanzania. Ukiwakuta vijana wana camera mtaani lazima tu watakuwa...
Kama Uchaguzi Mkuu wa 2025 ungekuwa kesho; ni Mbunge yupi wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (wa sasa au aliyestaafu) ambaye ungependa awe Mbunge kwenye Jimbo unaloishi?
Kama yupo mtaje hapo chini[emoji1427]
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.