Habarini wanajamii...Tafadhali naombeni anaejua biashara ya nywele bandia au maarufu Kama Rasta jumla na rejareja . Zinakopatikana jumla niwapi.nanunuaga kariakoo lakini ninauhakika kunamahali kariakoo wanachukua
Natanguliza shukrani
Habarin za mihangaiko wadau. Naombeni mwenye ufahamu kuhusu biashara ya rasta/nywelebandia jumla na rejareja kutoka kiwandani napataje. Ninataka kujikita huko
Anahitajika mfanyakazi wa saloon Awe anajue
-Kuweka rollers
-Steaming/hair treatment
-Kupamba Maharusi
-Kusuka aina zote za nywele
-Awe MWAMINIFU na aliyeko tayari kufanya kazi SERIOUSLY
-Awe na Huduma na Kauai Nzuri kwa wateja
-Awe tayari kutoa huduma kwa ukarimu na weledi
Kama upon tayari PM
Asante mdau:Msichana mwenye ujuzi wa Saloon ya kike-kupamba,kusuka,hair treatment na huduma zote za saloon ya kike..Salon ipo Kigamboni Kibada...awe tayar kufanya kazi kwa uaminifu na umakini tusogeze gurudumu la maisha
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.