Recent content by sewangi soc

  1. sewangi soc

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi "Sugu" na Emmanuel Masonga waachiwa huru baada ya kutumikia kifungo

    Hiv mda umeisha wa kifungo chake, au katoka kwa msamaha?
  2. sewangi soc

    JamiiForums Tanzania Ijue Historia ya Kabila la Wapare

    Ha ha ha.. Bila shaka kighu ndo Wembley ya kilomeni.
  3. sewangi soc

    JamiiForums Tanzania Ijue Historia ya Kabila la Wapare

    Nzur mno...sema kuna maeneo maarufu hapo hayajaingizwa... Kuna kilomeni kina umaarufu wake.kuna jiwe linaitwa "mkumba vana" nalo lina historia yake. Kuna bwawa la nyumba ya Mungu lina udambu udambu.
  4. sewangi soc

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa atakiwa kuripoti haraka sana kwa DCI

    Suala la madn ilsemekana marais wastaarafu wasihusishwe.... Je ni kila kashfa marais wastaaf hawatahusishwa?? Je endapo kashfa ya Richmond ...mamvi akamtaja mmojawao ...itakuwaje...?? Katiba itaruhusu...??
  5. sewangi soc

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Ramadhani salama ndio ham ya kla msherekeaji...muhimu kuonyesha ushirikiano kati ya vyombo vya ulinzi na wananchi au washerekeaji.
  6. sewangi soc

    JamiiForums Tanzania Nukuu toka kwa Rais Magufuli (QUOTES)

    Kwan serikali ndio imeleta tetemeko?
  7. sewangi soc

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya habari vya nje: Tanzania wana maisha MAGUMU

    Naamin hao waliohojiwa walisema ukwel kulingana na kile walichokuwa wanatarajia baada ya rais mpya kuingia madarakani. App sijasema anayoyafanya sasaiv ni mabaya au la. Kuna vitu ambayo vinamlenga kla mtanzania hata wa huko kijijini. Vyakula n ktu kmojawapo ambayo ukigusa au be I yake...
  8. sewangi soc

    JamiiForums Tanzania Tanzania haimo katika orodha ya nchi 10 zinazoongoza kwa wasomi duniani

    Kwan top ten ya mwshon hatupo??
Back
Top Bottom