Huyu wa sasa alikua mpuyangaji tangia enzi za mwendazake.Nafikiri aliteuliwa kwa zilezile sababu za kulindana na sasa hata baada ya kifo cha aliemteua bado anapuyanga maana hakua anakidhi vigezo.
Mbona Sirro kila mara anasema Mbowe ni gaidi?Kwa nn yy hajaichia mahakama ifanye kazi yake?Hili Dr Slaa hajaliona kaona la wanaosema Mbowe sio gaidi?Nikujuze tu kua Mungu hakosei.Ashaona hiyo shida haifai ktk kumtumikia ndio maana akaamua kumuacha akapambane na lile shangingi ili adhihirishe...
Wkt wa Magufuli mlikua na kauli hizi hizi.Swali langu ni kua mtu wa aina yako mnazaliwa hivyo hivyo mkiwa na mtindio wa ubongo au tatizo hilo linawakumba ukubwani?Maana watu wa aina yako ni mazezeta kipeuo cha pili.
Mm sina uhakika ila kuna jamaa mmoja yupo pale Arusha anaitwa Amani Golugwa(kama nimepatia jina) atakua yupo nyuma ya hii kitu.
Ni mtu mmoja smat sana ila hasikiki sana.
Usifananishe Ukraine na Iraq ndg.Marekani aliivamia Iraq baada ya kua amehakikisha S.Hussein hana chochote cha kuwasumbua.Kumbuka Marekani alikua ashaingia Iraq muda tu tofauti na hali tunayoishuhudia kwa sasa kati ya Urusi na Ukraine.
Kama tuna kiwango kikubwa hivyo cha fedha za kigeni zile 1.2 trillion tulizoenda kukopa kwa ajili ya mradi wa SGR tena kwa riba kubwa ya asilimia 200 zilikua za nini?
Ushaambiwa ukianzisha vita na mimi usinichagulie aina ya silaha ya kutumia. Huyo Domo alianzisha utaahira akajibiwa uzezeta. Tuwaache wayamalize kama walivyoyaanzisha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ile mbegu ya chuki walioipanda ndio inaota taratibu.La msingi ni kuvuta subira tu maana kama tumeshafikia huku kutokwenda kuzikana ambapo hata mm naunga mkono bado makubwa zaidi yanakuja. Shubaaamit zao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na pengine hata alichoandika Lissu hujakielewa maana nyie Vibaka wa Lumumba hiyo lugha mnaisikia tu upande wa pili ndio maana mnapigwa sana kwenye mikataba halafu mnarudi kulialia kama mnataka kujifungua.Mbaff sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Lissu ana akili kuliko nyie mboga mboga wote waliopiga kura 2015.Na kwa taarifa yako Ili siku nyingine uache uzezeta yule alikua anajua anachokifanya.
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.