Kufuatia maoni ya Wananchi wengi wakitaka viongozi wote waliotajwa katika sakata la TEGETA ESCROW wajiuzulu nyadhifa zao, katika Serikali na chama chao ili kuwajibika kwa yale yaliyojitokeza katika kuruhusu pesa za walala hoi kuliwa na mafisadi wachache. Hivyo ni vyema wakajiuzulu hata kama...
Ndugu zangu hawa viongozi wetu wa Dini pia ni Binaadamu hawawezi kuota au kujua kama pesa alizopewa na mmiliki wa akaunti hiyo ni mali ya mlipa kodi maskini wa Tanzania. Hivyo kabla ya kumtuhumu ni vyema kutoa nafasi ya upelelezi yakinifu na yeye baba Askofu kulitolea maelezo
Ni muda muafaka kwa vijana kukamata atamu katika nyanja muhimu za ungozi wa nchi ili kusaidia wale waliokosa fursa za kusoma kutokana na kadhia za kifisadi hawa wazee wanatia aibu nchi yetu yenye utajiri wa kila aina, Big up Zitto na kamati yenu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.