Recent content by Setto

  1. S

    JamiiForums Tanzania Sauti ya "kike" inanisumbua usingizini

    Kuwa makini. Isijeikawa unazungumza na viumbe wasio na miili.
  2. S

    JamiiForums Tanzania Nimemshika mchumba wangu na message ya kimapenzi

    Usijiumize bure kwa kufanya Conclusion wakati huna uhakika. Si amekuambia kuwa hamfahamu? Kwani haumuamini mchumba wako?Kama unamwamini msikilize. Kama humuamini usimuoe maana humpendi. Palipo na upendo kuna kuaminiana. Wewe hujawahi kukosea namba ya simu? au hujawahi kupokea sms isiyokuhusu?
  3. S

    JamiiForums Tanzania Anataka tu date to ila tusioane

    Pole. Hayo ndo mapenzi. Kama mngejua mapema mngefikiria kwanza hilo suala la dini. Lakini nataka kukueleza kuwa dini isiwe kikwazo cha ninyi kuharibu penzi lenu. Kama kweli mnapendana fanyeni utaratibu mfunge ndoa hata kama ni ya serikali alafu mtasawazisha masuala ya dini baadaye. Nahofia sana...
Back
Top Bottom