Recent content by Sesemela

  1. S

    JamiiForums Tanzania Tundu Lisu aishukuru CCM kwa Mchango wa kutengeneza Gari lake, asema Fedha atazipokea!

    Mungu hamwachi mnafiki salama.
  2. S

    JamiiForums Tanzania Olympic wakianzisha kipengele Cha Umbeya na Ujinga tutashinda medali za Kutosha

    Unafiki kuwa na huruma ya mamba anamla binadamu huku machozi yanamtoka.
  3. S

    JamiiForums Tanzania CCM acheni utaratibu wa kubeba wanafunzi kwenye mikutano kwa maelekezo wasivae nguo za shule. Mnamdanganya nani?

    Na walimu wote kulazimishwa kuhudhuria na kusaini asiyesani hutishiwa kuchuliwa hatua kali huu ni uonevu na udhalilishaji kwa walimu.
  4. S

    JamiiForums Tanzania Nape kutumbuliwa ni sawa, lkn kutelekezwa na dereva akiwa bado anatoa tuzo ukumbini siyo sawa

    Mifumo yetu inaruhusu udhalilisha sana na haohao ndiyo wanaoitetea waache wanyooshwe
  5. S

    JamiiForums Tanzania Mbowe must go, hatukutaki!

    Mnatia huzuni kubwa, mbona Mbowe anawatesa sana, hivi huyu mtu ana nini na chama chenu. Ni dhahiri ninyi ni dhaifu sana mbele ya mwamba Mbowe.
  6. S

    JamiiForums Tanzania Kuna kitu hakipo sawa

    Ni uongozi uliofitinika unaoogopana kwa maslahi yao wenyewe.
  7. S

    JamiiForums Tanzania Israel kuivamia Lebanon ndo utakua mwisho wake watajutia milele

    Kulialia ovyo kusije sikika kuwa wanauwa watoto na wanawake wakati wanafanywa ngao yao. Busara ni kuomba amani siyo kuchochea wakati waarabu ni dhaifu mbele ya mwanaume wao Israel
  8. S

    JamiiForums Tanzania Wanufaika wa BBT waanza kuvuna ekari 620 za alizeti Chinangali Dodoma

    Acheni kuchezea maisha ya watu.
  9. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nape Nnauye: Nashangaa Watanzania wanaokwenda kusikiliza upuuzi wa Lissu. Tumkemee, tumtenge na tumlaani

    Ubaguzi ni laana watanzania wanajielewa hatudanganyiki wala kuikaribisha laana hiyo ufe nayo mwenyewe.
  10. S

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Viti Maalum, Neema Mwandabila: Naona Kikokotoo kinawaweka Wastaafu katika hali nzuri

    Huyu ana pepo akaombewe, lishindwe kabisa
  11. S

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi wote nchi nzima tuungane na kufanya yafuatayo kuhusu vita ya kikokotoo

    Laana ya Laana ya Mungu iwapige watu kama hawa na kizazi chake chote. Wizi wa fedha za wastaafu ni watu kulewa madaraka waliyonayo kwa maana wao hakiwagusi. Kama hakina madhara kwa nini isiwe kwa watumishi wote?.
  12. S

    JamiiForums Tanzania Haya ndiyo maandamano ya ovyo kuwahi kutokea katika nchi yetu. Hata wanaoandamana hawajui kwanini wanaandamana!

    Wahuni ni wengi mandamano hayakuhusu unaumia na nini?. Kula kuku kwa Mbowe hakuna tofauti na wanaotaka kununua ndege ya viongozi wakati maisha ni magumu sukari tu ni shida je, maji, umeme vipo kwa hawa wasiokula kuku?.
  13. S

    JamiiForums Tanzania Makonda: Stendi mpya Iringa ipewe jina la Chongolo

    Nimeamini watanzania hatujitambui kabisa, hii ni aibu.
  14. S

    JamiiForums Tanzania Abdulrahman Kinana: CHADEMA wamelipwa ruzuku kiasi cha Billion 2.7

    Ni bora zipigwe kimyakimya kuliko kupigwa kwa urafi na matangazo huku watu wakiwa gizani ni aibu. Je wanaokula kwa kupiga kelele wamelifanyia nini Taifa hili?.
Back
Top Bottom