Recent content by SESEKO

  1. S

    JamiiForums Tanzania Mishahara mipya

    Ni muda wa kurudisha mzigo huo
  2. S

    JamiiForums Tanzania Mishahara mipya

    Ni muda wa kutudisha mzigo wao
  3. S

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo shinyanga nije dodoma, d'salaam, kahama, mwanza na ushetu
  4. S

    JamiiForums Tanzania Washauri wa Lowassa Tafadhari Mshaurini hili Mzee wetu...

    Kuna jukwaa la lowassa linaitwa KAMBI RASMI YA LOWASSA 2015, huko FACEBOOK.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Kete ya CCM urais 2015 naiona kwa Wasira

    Wassira atasubiri sana kwani hana sifa za kuwa Rais material,kwanza hata ktk jimbo lake hakubaliki na alipita kwa kumnunua mgombea wa cdm na kwa sasa pia analumbana na ESTHA BULAYA anayekuja kwa kasi jimboni humo.T.2015 ENL ndo suluhu ya JMT
  6. S

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Mwangaruka wasukuma wote waishio morogoro. Naomba mje kishapu eneo la maganzo jirani na mwanza road idara ya Sekondari ili dada yangu aje hapo kwao morogoro na wilaya zake.
  7. S

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Habari njema... Mwl njoo kishapu eneo la maganzo jirani na mwanza road,idara ya sekondari ila mdada aje hapo morogoro na wilaya zake.
  8. S

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Wa Dodoma njoo huku Kishapu maeneo ya Maganzo maana ni ukanda wenu huu.
  9. S

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Mdau,tafadhali njoo kishapu eneo la maganzo mwanza road, idara ya sekondari,mi nije hapo dodoma mji.
  10. S

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Ushauri kwa wana jf wenye malengo ya kubadilishana vituo vya kazi. Nimegundua katika halmashauri zetu kuna matangazo mengi ya walimu wanaomba kubadilishana vituo vya kazi na mengi yao yamechakaa kwa kukosa majibu,Nawaombeni tukienda halmashauri tuwasaidie wenzetu kuleta data zao humu JF.
  11. S

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    kaka wa dodoma njoo hapa maganzo shinyanga nije dodoma,hapa ni karibu na ukerewe
  12. S

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo maganzo-shinyanga nije hapo dodoma,idara ya sekondari. 0769 666720
  13. S

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo kishapu(maganzo) idara ya sekondari ili nije huko. 1. MWANZA(ILEMELA/NYAMAGANA) 2. MOROGORO MJI/KILOMBERO 3. DODOMA NI PM FASTA.
  14. S

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Wasiliana na Mwl Enock Maige wa Simiyu.0768 172522,Jamaa yupo Maganzo Kishapu Shy
  15. S

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Kama sekondari nambie kuna jamaa yupo Tabora
Back
Top Bottom