Recent content by SENZANGAKONA

  1. SENZANGAKONA

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    Hatari sana
  2. SENZANGAKONA

    JamiiForums Tanzania Tabia gani za walevi huwa zinakushangaza?

    Kuna jamaa yangu akishalewa halafu watu wamsumbue utamsikia anasema 'Unajua mimi ni mbwaa me mbwaa we endelea tu' hapo ujue pombe imekaa pahala pake ila sio mgomvi ni biti tu.
  3. SENZANGAKONA

    JamiiForums Tanzania Nashauri makamu mwenyekiti CHADEMA apumzike tu siasa, yanini kujilazimisha na haiwezekani kamanda?

    Sawa mkuu wewe una guarantee na afya yako kwa 100% mpaka unawaza afya za wenzio.
  4. SENZANGAKONA

    JamiiForums Tanzania Nashauri makamu mwenyekiti CHADEMA apumzike tu siasa, yanini kujilazimisha na haiwezekani kamanda?

    Hadi ndugu yako Mwashambwa kakuambia hujafa hujaumbika kaka. Tazama andiko lako mara mbili mbili.
  5. SENZANGAKONA

    JamiiForums Tanzania Dereva wa Nape Nnauye apewe tuzo ya Uzalendo

    We jamaa hapo kwenye ZUTU umenikubusha mbali sana
  6. SENZANGAKONA

    JamiiForums Tanzania Aiseee!!!! Dar kuna matapeli

    Karibu Daslamu Mkuu.
  7. SENZANGAKONA

    JamiiForums Tanzania Simike, Mbeya: Ajali ya Lori na Coaster yasababisha vifo zaidi ya Watu 16 na kujeruhi wengine 18

    Dah!! Poleni sana wafiwa wote. Huu mlima uangaliwe walau ipatikane barabara ya mbadala kwa haya malori makubwa.
  8. SENZANGAKONA

    JamiiForums Tanzania KERO Idara ya Maji Mbeya zibueni chemba za maji taka zilizoziba, zinasababisha kero kubwa

    Limewafikia wahusika ila kwa shingo upande kwa sababu tu ya hiyo idala badala ya idara
  9. SENZANGAKONA

    JamiiForums Tanzania Hivi huu upuuzi kwenye kazi za ofisini utaisha lini?

    Haya mambo magumu sana Mkuu. Nipo na co-worker wangu na ni junior kwangu ila mshamba sana nafanya kazi mimi yeye anakimbilia kwa boss kuripoti na anasema kafanya yeye. Jana nimwahi zangu mapema ananiuliza vp mzee kuna shida gani mbona umewahi sana, nikamjibu kwani tunapangiana muda kuingia...
  10. SENZANGAKONA

    JamiiForums Tanzania Watanzania mnaojiua kila siku nani aliyewaambieni kuwa sisi wengine hatukupitia changamoto kubwa za kimaisha kuwazidi?

    Ubarikiwe sana Mkuu naamini kwa uzi huu umewaokoa wengi sana natamani hata kwenye platforms nyingine ujumbe huu uwafikie.
  11. SENZANGAKONA

    JamiiForums Tanzania Maisha yangu nimeyaharibu mwenyewe

    Jamaa amecarry tena uzi aisee
  12. SENZANGAKONA

    JamiiForums Tanzania Profesa Mgaya ateuliwa kuwa Mkuu wa chuo cha Usafirishaji (NIT)

    Hajastaafu huyu ni Dkt. Prospser Mgaya aliyeteuliwa na yule aliyestaafu ni Prof. Yunus Mgaya
  13. SENZANGAKONA

    JamiiForums Tanzania CPA Ruge vs Lawyer Jokate kiukweli BAWACHA na UWT Mnaweza na Mmetisha Sana!!

    Sio kweli Mh. Jokate amesoma BA. in Political Science and Philosophy pale UDSM.
Back
Top Bottom