Mnyonge mngeni lakini haki yake mpeni, miaka ya nyuma wala sio nyuma sana, kwenda sekondari ilikuwa ni ndoto achilia vyuoni, lakini sasa angalau watu wana fika nakupata elimu, barabara hakuna ubishi, japo wanasema ni zimejengwa na mikopo ya wahisani mie silijari hilo, wanasema elimu ni kiwango...