Tatizo kubwa ni kuwa wamemteua mtu ambae amekaa nje ya Tanzania kwa miaka 3 na kafika tu na kuanza kuzunguka hilo ni kosa kubwa alitakuwa akae tz japo kwa miezi 2 ili awe ta touch na tz nje ya hapo ndio hayo unayo yaona
Walikuja Airport kwa mbwembwe police na wana habari wakakausha tu wakaanza kampeni kwa kisingizio. Cha kutafuta wazamini huku wakihubiri chuki police na wana habari wakauchuna sasa wameona vyote vimebuma sasa wameanza kutengeneza move yao.
Nilisha wahi kuwashauri chadema humu kumshambulia magufuri hakuta wasaidia kwenye Sanduku la Kula Kwa kuwa magu kajenga ukaribu Sana na watu wa kipato cha chini na ndio wapiga Kula walio wengi ni lazima chadema iwe na njia mbadala kwenye compeni zake kama Wana Nia ya kuongoza
Kwani CCM wanapo pata live coverage huwa wanalipa au inakuwa bure? na ingekuwa vzr kama chadema wangesema kuwa wamevilipa vyombo vya habari na vimekataa kuwapa coverage hapo nadhani ndio tungekuwa na pakuanzia kuliko kutoa lawama.
Note: mkono mtupu haulambwi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.