Recent content by Sentebe

  1. Sentebe

    Watu weusi hawapaswi kuwa viongozi kwa sasa hadi pale watakapopata akili

    Nasikitika kakini nakiri uko sahihi kwa asilimia 99. Sisi watu weusi na mamlaka, vyeo, Mali na madaraka kwa ujumla ndio udhaifu wetu. Nadhani ukitaka kumbomoa au kumuangamiza mtu mweusi mpe madaraka, Mali, mamlaka ama uluwwa au ukubwa hapo ndio utaona tulivyo mapoyoyo. Najua wengine hapa...
  2. Sentebe

    Ijue siri na sababu za malalamiko ya Teuzi kwa hoja za Udini katika Awamu hii ya Sita

    Muungano ukivunjika kwa fikra zako za kisomi unadhani wadanganyika wa mikoa ya mwambao wa bahari kama Dar es salaam, Tanga, Pwani, Lindi na mtwara watakuwa upande wa Zanzibari au upande wa Bara? Nje ya muungano hakuna Tanganyika kuna bara Republic na Pwani Republic pamoja na Jamhuri za...
  3. Sentebe

    Nini kifanyike ili kutokomeza rushwa na ufisadi?

    Yesu arudi labda. Utamaduni wa ubinafsi ndio chanzo cha kila kitu, kila mtanzania ni mpenda rushwa pale anapopokea au kunufaika nayo. Tunaichukia rushwa pale inapotuumiza tu. Rushwa tunaipenda mno wadanganyika kiasi kwamba imetamalaki kunzia viunga vya Ikulu mpaka kwa mjumbe wa makumi.
  4. Sentebe

    Jinsi Muungano unavyoathiri Waislamu wa Tanganyika wakati wale wa Zanzibar wakineemeka

    Brigedia Adam Mwakanjuki, Jaji Augustino Ramadhani, Charles Hilary......
  5. Sentebe

    Tunazidiwa ujasiri na wanawake wa Afghanistan, wanaandamana mbele ya Wataleban

    Acha kufananisha watu wa Afghan na vitu vya kijinga.
  6. Sentebe

    Ally Happi na Kafulila "waenda na maji", Watumbuliwa Ukuu wa Mkoa

    Duhhhhh mbona Manara hayumo tena, mkeka wangu ushachanika fimufumu.
  7. Sentebe

    TANZIA Gwiji la Siasa na Mapambano ya Kudai Uhuru, Mzee Bilali Waikela amefariki dunia

    Allah amsamehe, amhurumie na ampe makazi firdausi mzee wetu, Bilal Waikela.
  8. Sentebe

    Ukweli Usemwe: Mtu ambaye anaiba uchaguzi anaweza kuwa na maono/ mpango wa maendeleo wa muda mrefu?

    This is Afrika (TIA) kwa sauti ya kikaburu,! Rushwa ndio kilakitu, tunapenda kupokea na hatuoni shida kutoa. Rushwa kwetu ni rafiki wa milele. Rushwa kuanzia ofisi kuu hadi kwa mjumbe wa makumi, rushwa kwenye chaguzi mpaka za shule ya chekechea, Rushwa mpaka kwenye ngazi ya familia, rushwa...
  9. Sentebe

    Ninayoyasikia mtaani juu ya watumishi wa Umma katika awamu ya sita yanatisha

    Kazi za kumwaga ughaibuni, Ingia kwenye mitandao search kazi 🇨🇦, 🇦🇺, 🇳🇿, 🇬🇧 na Commonwealth yote kwa ujumla. Kaya zinazohitajika sana ni pamoja na afya, ufundi na teknolojia. Hata ualimu khususan wa masomo ya hisabati na sayansi. 🇬🇧 sasa hivi wanachukua radiographers kutoka Nigeria, 🇿🇦 na...
  10. Sentebe

    Wasomi wetu wa Tanzania wamelisaidia vipi taifa letu kutoka kwenye umasikini?

    Tatizo sio vyeti, changamoto ipo kwenye hii kitu inaitwa UADILIFU. Kuna baadhi ya dini UADILIFU ni muhimu kupita maelezo, wakati baadhi ya dini nyengine ni option tu almuradi unatoa fungu la kumi. Hii pia utaiona kwenye utamaduni , mila na desturi ya baadhi ya makabila , kwa mfano Kiongozi...
  11. Sentebe

    Ninayoyasikia mtaani juu ya watumishi wa Umma katika awamu ya sita yanatisha

    Acha kabisa Uhamiaji, nilikwenda kuwagongea mihuri vijana wangu wawili ambao wote wana pasipoti za 🇨🇦 kwa kuzaliwa, ili kuwapa ile option wakiwa watu wazima wenyewe waje kuamua kama wanataka utanzania ama ubeberu, heeee tate naneeeeee, niligombewa kama mpira wa kona , kila mtu anatak rushwa...
  12. Sentebe

    NIDA inatarajia kuanzisha vitambulisho vya Taifa vya Smartcard

    Ukitoa rushwa unapatà siku ya pili, useless people. Yaani hao NiDA na Immigration ni mboyoyo kinoma. Unaenda badilisha passport kutoka analogy kwenda digital bado unahitaji kitambulisho cha nida ? Sasa hii passport niliyonayo niliipataje? Pathetic people, Pathetic service, Pathetic system...
  13. Sentebe

    Ukweli wasioupenda Watanganyika au Watanzania Bara

    Duuuhhh. Ubaguzi wa rangi ni ugonjwa mbaya kuliko kansa. Waarabu na ibilisi alielaaniwa na Allah wanafanana sana, rejea kiburi cha kujiona bora kulikopelekea ibilisi wakati huo akiitwa azazil kulaaniwa. Yaani Allah kaumba mtu , akamkamilisha na kumpa rangi nyeusi kama alivyokupa wewe rangi yako...
  14. Sentebe

    Ukweli wasioupenda Watanganyika au Watanzania Bara

    Naam, wakwezi , wavuvi na wakulima wenyeji wa asili ya visiwa vya pwani ya watu weusi ama Zinjbari ndio waliwapindua wavamizi kutoka bara Arabu khususan Muscat Oman, vitukuu vya yule dhalimu Sultan Sayyid Said bin Sultan aliyepindua utawala wa Mwinyi mkuu huko nyuma mnamo miaka ya 1800
  15. Sentebe

    Ukweli wasioupenda Watanganyika au Watanzania Bara

    Haya nisaidie wewe kutoka utawala wa wenyeji weusi ama zenj people, Mwinyi mkuu na sirikali yake mpaka kuhamisha makao makuu yake Sultan Sayyid said mwarabu ,mwaka 1832 kutoka kwao Muscat Oman, kulikuwa na mkataba wowote wa makabidhiano ama ugaidi uitumika kutuvamia? Tuanzie hapo kwanza
Back
Top Bottom