Recent content by sensius

  1. S

    Mbowe: A Dangerous Shift Against Democracy in Tanzania

    For what so called Mbowe wrote is full of realistic. We need a support from abroad to strength our democracy, if so far the ruling party can't do it for us. How do you guys get shocked on the sentence while forgetting our economy depends on west countries control?.
  2. S

    Wapiganaji wa UDSM wapiga hodi Bungeni

    Kuna Mkongwe Mmoja anaitwa Benedict Mtungireh miaka ya 1994 wanamjua hapo kwenu UDSM. Jimbo la Kyerwa CHADEMA mzuri sana jamaa huyu
  3. S

    Clouds FM, hiki mnachofanya ni kampeni kwa CCM

    Tusha wafaamu. Kwani nani hawajui ni wazee wa Propaganda. Lazima wajipendekeze watoto wao wapate chakula kwa urais zaid
  4. S

    Ufoo Saro, kwanini uteseke na kuumia tu moyoni?

    Unaanzaje kum attack dada wa watu kiasi hichi au wewe ndo jirani yake huko kijijin bas unamuonea wivu. hujui yule ni binadamu mbali na kazi yake ana mapenzi na watu anao amini ktkt wao? Kubwa jinga kweli. Hiyo kazi anafanya haja ajiriwa na ccm wala cdm
Back
Top Bottom