Plasta mafundi kama nlivyosema awali nawalipa day job 20,000 - 25,000 (kama ni 20,000 nimempa fundi namtia 2000 ya nauli hakai mbali na goba) ina range humo siku zingine nampa 25,000
Kibarua alikua anakula 15,000 anaishi goba huko huko…..vijana wapo wa kutosha sana and cheap labor….na wanakuwa...