Hapo shida sio ujangili na kwa akili ya kawaida hiyo eti alikuwa anawinda kweny hifadhi hiv ni nani asiye jua kuwa wilaya ya serengeti na wakaz wake hasa kwa wafugaji wanachangamoto ya malisho hivyo inawalazim kuingia kwenye hifadhi ili mifugo yao ipate malisho iv ni kwann uongozi wa hifadhi...
Special prayer to Dr. Kebwe stephen kebwe
I want to ask you today
Today I want to ask you to bless Dr kebwe stephen kebwe
Because of him in life, I have that smile and cheer
He is innocent in some ways
And he is wise on other days
I want that happiness never leaves his stride
And he is...
Special prayer to Dr. Kebwe stephen kebwe
I want to ask you today
Today I want to ask you to bless Dr kebwe stephen kebwe
Because of him in life, I have that smile and cheer
He is innocent in some ways
And he is wise on other days
I want that happiness never leaves his stride
And he is...
Mazingira ni yetu sote sis vijana ni wajibu wetu kutunza vyanzo vya maji na kuhifadhi mazingira kama jitihada za kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi katika kwenye nchi yet
Sent using Jamii Forums mobile app
KILELE CHA KONGAMANO LA UPANDAJI MITI ni tarehe 18 /4 /2019 MKABALA NA KITUO CHA MAMLAKA YA MAJI SAFI MOROGORO lengo kuu ni kutunza vyanzo vya maji na kuhifadhi mazingira kama jitihada za kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi katika Mkoa wetu
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.