Recent content by sendula

  1. S

    JamiiForums Tanzania Wasaliti CHADEMA wanateseka, wafanye nini ili muwasamehe warudi kundini?

    Kwanza waombe radhi kwa wananchi na waeleze bila kuficha njisi walivyo tumika kujumu taifa na walifanya hivyo kwa kumlizisha au kwa faida ya nani.wakisha fanya hivyo basi waanze kufanya kazi kazi inayo fanya chandema ya kuelimisha uma hata kama sio wanachama wa cdm lakini lakini wakielimisha...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Hongera Lissu: Issue ya Muungano italeta amani ya kudumu nchini... Mohamed Said buni hekaya nyingine

    Kweli tanganyika na Zanzibar bado hatupata uhuru kamili kwa zaidi ya miaka hamsini.tuna elimu ya kikolone ya kulisha watu propaganda na kuwapa vyete na title zenye majina makubwa basi wanalizika kwa kuuza mali za taifa.inawezekanaje nchi yenye utitili wa professor wanaacha taifa lina ogozwa kwa...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe ahaha kuokoa Jahazi la CHADEMA Lisizame

    Hivi kweli ccm inakubalika kwa misingi ipi naomba nielimishwe?
  4. S

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe ahaha kuokoa Jahazi la CHADEMA Lisizame

    Mtahangaiga sana wanaccm wala ubwabwa na book saba.kila kukicha mnawaza namna ya kibomoa cdm mkidhani kuwa cdm ikifa mtafanya maovu yenu ya kuwagandamiza wananchi bila kunyoshewa kidole na cdm. Mnajidanganya kwani mchawi wenu sio cdm mchawi wenu ni matumbo yenu yanayo wezuwia kusoma alama za...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Mwl. Nyerere alizoea kuishi kwa uongo na udanganyifu

    Lisu ndio mfonao wa mtu anaye juwa maana yakuelimika na kuelimisha sio kama wengine wanao juwa kuelimika ni kujuwa njinsi ya kuchumia tumbo kwa kufurahisha master
  6. S

    JamiiForums Tanzania Tamko la awali la CHADEMA kupinga uchaguzi mdogo wa Chalinze

    hoja za misingi kabisa ila chadema mmeyataka wenyewe kwa kuendelea kushiriki chaguzi chini ya tume ya uchaguzi ya ccm
  7. S

    JamiiForums Tanzania Tumshukuru Mungu Sitta hakugombea urais na CHADEMA 2010

    Mimi naomba wajumbe wote wenye kuitakia mema taifa letu wajitowe kwenye huo mchakato wa katiba ya ccm la sivyo wote mtakuja kujuta mtakapo pale mtakapo yaona matuda ya mlicho kifanya kwa ghara ya wanyonge.kumbukuka katika dunia ya leo hakuna kiongozi wakudumu wote siku moja mtakuja kuwa raia wa...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Ni kitu gani tunakikosa kwenye siasa za Tanzania kwa sasa!

    Hukuna uzalendo wanasiasa waliowengi ni mabaki ya wakone bado wanafanya maamuzi ya kufurahisha wacoloni zaidi badala kufurahisha wananchi walio wapa madaraka.mfano kiongozi wa nchi za magarbi akija tanzania basi wamachinga,omba omba wanafukuzwa kwenye njia watakapo pita bila kujari hao hao...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko mapya kanuni za bunge la katiba haya hapa.....CCM kupiga kura ya wazi, upinzani siri!

    Mimi ukawa warudi kwetu wananchi tuaandamane nchi zima tuikatae serikari ya ccm na katiba yake ili tuwe na serikari ya umoja wataifa kabla ya kaadika katiba maana sasa hawa viogozi wa ccm wataka katiba ya kurinda masilahi yao
  10. S

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yamwekea pingamizi mgombea wa CCM Kalenga

    Kumbe ndio maana ccm wanalazimisha kuendelea kutawala maana walisha geuza tanzania mali yao. Wanalisishana vyeo. hivi kweli katika watu wote kalega hakuna mtu mwinginne wa ccm mpaka waweke mtoto wa marehemu hata hakuna mtu anayemjuwa zaidi ya kujua jina la baba? Watanzania amkeni la sivyo...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Tanzania Yawapagaisha Wamarekani Seattle

    ni kweli kikwete kaitangaza tanzania kuriko maraisi wote walio pita. Na idadi ya watarii imeongezeka mara dufu.ila swali je hela zinazo patikana zinawanufaisha watanzania wote kwa usawa au zinaishishia mikonono mwa wachache
  12. S

    JamiiForums Tanzania Aliyeshinda kura za maoni CHADEMA Kalenga awekwa kiporo, Grace Tendega kupambana na CCM

    cdm chama makini hawaangirii elimu ya kwenye makaratasi wanaangaalia elimu ya maisha halisi. Unaweza ukawa umesoma na bado ukawa mjinga. Mfano mzuri ni serikari ya kikwete imejaa maprofessor na madoctor lakini angalia karbu kila wizara imeoza.migogoro isiyo isha. Mimi kama tukifanya utafiti wa...
  13. S

    JamiiForums Tanzania CHADEMA hali mbaya kifedha: Wakenya waja juu, mishahara holaa!

    Towa data za cdm kama hizi za ccm, mashabeke wa ccm wao ni mipasho iso kuwa na mshiko, lakini sio kasa lao ni mathata ya kuzowea kula hela za kifisadi ambazo huhitaji kutumia akili kuzipata.bali wanapeana mali za nchi yetu
  14. S

    JamiiForums Tanzania CHADEMA hali mbaya kifedha: Wakenya waja juu, mishahara holaa!

    Towa data za cdm kama hizi za ccm, mashabeke wa ccm wao ni mipasho iso kuwa na mshiko, lakini sio kasa lao ni mathata ya kuzowea kula hela za kifisadi ambazo huhitaji kutumia akili kuzipata.bali wanapeana mali za nchi yetu
  15. S

    JamiiForums Tanzania Vurugu za kisiasa Ubagwe: CCM ndiyo walioratibu vurugu kuichafua taswira ya CHADEMA

    Mimi sioni kama wafuwasi wa wachadema wanaweza kufanya fujo za kumwanga damu kwa sababu hizi:1 wengi wawafuwasi wa chadema wanajitorea hawana malipo yoyot. Tafauti na waccm ambao kila mmoja anapata malipo toka ccm.2 wafuwasi wa cdm wanajuwa wazi kuwa polisi haiko upende wao hivyo kufanya kosa...
Back
Top Bottom