Wasaliti CHADEMA wanateseka, wafanye nini ili muwasamehe warudi kundini?

Riziki Magembe

JF-Expert Member
Apr 5, 2014
887
0
Wanajamvi,

Napenda kuuliza swali hili kwa makamanda na wapenzi wa CHADEMA, kuwa wasaliti walio timuliwa CHADEMA wafanye nini wasamehewe ili warudi kundini waungane na makamanda maana wamekoma huko walikokimbilia hawana raha maana zile siasa za kisasa wanazikosa.

Kuna jamaa wa karibu yangu anajilaumu sana na kupatwa na mawazo kuwa anapata taabu sana kutokuwa mwanachadema, anajutia makosa yake ya usaliti aliyofanya kwa kushinikizwa,ameniuliza mimi kuwa afanyeje ili arudi CHADEMA? Nikamwambia ngoja niwaulize wadau jf watupatie majibu, Hivyo mwenye majibu tafadhari atupatie ili jamaa yangu afuate aweze kurudi CHADEMA ameungama amesema.

Jamani kumbe wanajuta hawa wasaliti walikokwenda hakuna mvuto kwa wananchi na vijana.
 

Skype

JF-Expert Member
Nov 5, 2010
7,278
1,195
Taja jina kwanza maana kila msaliti alifanya maajabu yake na itasaidia kutoa ushauri kulingana na aina ya msaliti.
 

Danpol

JF-Expert Member
Aug 15, 2013
4,627
2,000
Story za kutungaaaaaaa,,,hakuna na haijawah tokea mtu akajutia kuachana na siasa uchwara za chadema
 

Ngonini

JF-Expert Member
Sep 1, 2010
2,024
1,195
Wana jamvi napenda kuuliza swali hili kwa makamanda na wapenzi wa chadema kua wasaliti walio timuliwa chadema wafanye nini wasamehewe ili warudi kundini waungane na makamanda maana wamekoma huko waliko kimbilia hawana raha maana zile siasa usasa wanazikosa,kuna jamaa wa karibu yangu anajilaumu sana na kupatwa na mawazo kuwa anapata taabu sana kutokua mwanachadema anajutia makosa yake ya usaliti aliyofanya kwakushinikizwa,ameniuliza mimi kuwa afanyeje ili arudi chadema?nikamwambia ngoja niwaulize wadau jf watupatie majibu;hivyo mwenye majibu tafadhari atupatie ili jamaa yangu afuate aweze kurudi chadema ameungama amesema;jamani kumbe wanajuta hawa wasaliti waliko kwenda hakuna mvuto kwa wananchi na vijana

Mkuu kama kuna mtu anajutia usaliti wake anaweza kurudi tu kundini kama akifanya hili: Kwa kuwa kosa la usaliti liliwaumiza wanachama na wapenzi wa chadema, basi ni vyema akaenda kwenye mkutano wowote wa chaema au UKAWA akatubu mbele ya wanachama na wapenzi wa chaema. Naamini hata kama ulifanya kosa kubwa watu watakusamehe maana mwisho watu kinahitaji watu! Mwambie hawezi kusamehewa kimyakimya maana hata viongozi hawanamamlaka hayo kwa sas, wanachama na wapenzi ndo wanaweza kuamua wamsamehe au la!
 

OLESAIDIMU

JF-Expert Member
Dec 2, 2011
19,161
1,250
Fanyeni kazi sasa ujjinga wa kuandama watu wakati shida ni nyingi na utatuzi bado we unataka kukomaa na watu ili ufaidike nini wewe Riziki Magembe!!!!!

Siasa za matukio chanya na endelevu ndio shina la ukombozi. We ni kama muimba taarabu jana umekomaa na yule wa NCCR leo unaleta habari iliyokwisha sahaulika, sasa kama wasaliti.warudi ili iwe nini????!!!!!

Weka issue tujadili si kelele na kuandamana kama wake wenza!!!!!
Ulisikia hoja ya Mh Wenje, Lema na Mbowe????!! Watu wanagusa maeneo nyeti we unakomaa na watu????!!!
Hovyo siasa za mpango wako huu!!!!
 
Last edited by a moderator:

sendula

Member
Nov 14, 2013
32
0
Wala huku JF hakuna majibu ya kiofisi, sana sana watampa ushauri tu basi
Kwanza waombe radhi kwa wananchi na waeleze bila kuficha njisi walivyo tumika kujumu taifa na walifanya hivyo kwa kumlizisha au kwa faida ya nani.wakisha fanya hivyo basi waanze kufanya kazi kazi inayo fanya chandema ya kuelimisha uma hata kama sio wanachama wa cdm lakini lakini wakielimisha raia wakajiandikisha kupiga kura kuchangua kiongozi mzalendo tiari watakuwa wamerudi cdm . Maana sio lazima uwe na cdm kusaidia kukomboa taifa letu toka mikononi mwana ccm
 

WILLAFRICA

JF-Expert Member
Nov 12, 2013
4,033
2,000
taja jina kwanza maana kila msaliti alifanya maajabu yake na itasaidia kutoa ushauri kulingana na aina ya msaliti.

hakika umenena mkuu,maana kama ni zittyo kabw sitamsamehe hata chembe zaidi ningependekeza apigwe kitanzi hadharani.
 

IKWETE

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
4,061
1,225
Mijitu iliyofukuzwa Chadema iacheni ijifie huko huko. Sasa jitu kama abakorakamo na @njano5 waje kufanya nn
 
Last edited by a moderator:

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
77,579
2,000
HAKUNA nafasi NYINGINE kwa msaliti yeyote YULE , wasaliti ni kama KANSA UKIPONA UNASHUKURU .
 

lendila

JF-Expert Member
Sep 26, 2012
5,732
2,000
Chadema msicheke na msaliti yeyote yule ambaye anataka kuyumbisha chama
ni heri kuchelewa kuchua dola kuliko kucheka na kima kwenye shamba la maindi
vile vile ukawa kaeni mtoe tamko la pamoja kuhusu hao wasaliti
cuf wasije wakafikiri wako salama sana
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom