Recent content by senatorb52

  1. S

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Mining Supervisor

    Nahitaji Mining Supervisor awe na sofa zifuatazo: 1. Awe na umri kuanzia miaka 30 2. Awe na uzoefu wa Underground mining kwenye migodi mikubwa au ya kati si chini ya miaka 4. 3. Awe na shahada/Astashahada kwenye Mambo ya Mining. 4. Awe na blasting licence ambayo ipo up to date. Waombaji wote...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta Kazi yoyote

    apply tu utapa mkuu
  3. S

    JamiiForums Tanzania Jamani Kazi za HR vipi?

    Wadau mm ni new member nimesoma Bachelor of Business Administration in Human Resource(SAUT).kila nikiapply kazi za HR nakosa nifanyeje na mtaji wa biashara sina naomba ushauli wakuu kitaa kigumu
  4. S

    JamiiForums Tanzania STAMICO wameanza kuita watu kazini

    Natanguliza shukrani kwa ushauli
  5. S

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi kwa waalimu

    duu bora ningesoma ualimu tuu
  6. S

    JamiiForums Tanzania Advans bank bado hawajaita?

    kwli kaka
Back
Top Bottom