Ok its ok hatukuja kubishana hapa bali kuelimishana. ..LG wameanounce kuanzia mwakani wataanza kutoa TV za Andoid, SONY mpaka sasa hawana na hawaja anounce, SUMSUNG nao hawana. ..sasa yeboyebo hapo ipo wapi?
Ok website yao ipo. ...ata ukigoogle utaiona. ..ila kampuni hiyo siyo kongwe kivile na ili base sana kwenye fridge na air conditioner. ....sasa waneingia kwenye TV na kumbuka wao wenyewe ndio wametoa Tv zenye android operating system. .then product fake huwezi kuta kwenye maduka kama the game kaka
Kaka asikuambie mtu kitu. .bruhm ni kampuni ya kijerumani. ....suala la point of assembling is not an issue. ...watu wanafuata cheap labour and raw materials...ila tunachoangalia sisi ni quality. .suala la bei ni kwamba lg, sony and other big brand....wanaspend a lot of money kwaajili ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.