Recent content by semunga Mhina

  1. S

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba achunguzwe kwa utakatishaji fedha

    Acha ukolo wivu husuda na chuki binafsi serikali ina vyombo vyake unafikiri kama angekuwa hivyo ingeshindwa adi ww useme
  2. S

    JamiiForums Tanzania Majaribio ya treni ya umeme yafanyika

    Umeambiwa iko kwenye majaribio unataka iende kasi ili iweje iyo ni kama gari unaongeza speed ukitaka sasa dereva kaamua kutumia speed iyo
  3. S

    JamiiForums Tanzania Chongolo: Mbowe ana wajomba zake Nyeri na Zitto baadhi ya baba zake wanakaa Bukavu

    Mambo madogo madogo mnataka kuyakuza kisiasa sifa ya rais ni kuwa mtanzania wa kuzaliwa ata kama ndugu zake Co wtzania muacheni mm afanye kazi mkapa katawala miaka kumi lakini asili yake msumbiji mbona amkupiga makelele, mwendazake mlisema Ana asili ya burundi mbona amkupiga kelele muacheni mm...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Tuwe makini, hakuna nchi ambayo haikuwa na wanyama pori wake kama sisi

    Hivi nani alikwambia wanyama wanaweza kuisha kwa kuuzwa ujui wanyama wanazaliana uko nyuma binadamu walikuwa wanauzwa ulaya wakitokea africa karne zikapita lakini waafrica awakuisha, samaki, ngombe nk kila cku wanavuliwa lakini awajaisha
  5. S

    JamiiForums Tanzania Ni harufu ya ufisadi tu! Mikataba mikubwa ya trilioni ya pesa haiwekwi wazi na wala Bunge hatusikii likihusishwa. Tunaibiwa tushtuke kabla ya 2025

    Uambiwe kama nani pambana na maisha ya familia yako Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
  6. S

    JamiiForums Tanzania Balozi wa Tanzania nchini Uturuki, Luteni Jenerali Yacoub Mohamed

    Mtu wa kondoa Co mzbr Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
  7. S

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Hatutarudia makosa ya 2020, hatukuwa na wagombea sahihi

    Kulikuwa na majimbo mangapi je majimbo yaliopita bila kupingwa yalikuwa mangapi ambayo kasoro ujazaji form kuwa na akili wkt unacomment Uelewa ukweli kura zilijazwa ushahidi jimbo la kawe wt walikamatwa lakini hakuna aliyefikishwa mahakamani Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
  8. S

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Hatutarudia makosa ya 2020, hatukuwa na wagombea sahihi

    Mbowe anatakiwa aifute hii kauli na yy alikuwa mgombea alikuwa dhaifu yy kama alitaka kupiga kijembe lisu amekosea lisu ndio mgombea sahihi kwa sasa kama anataka kugombea urais 2025 atakuwa amefanya kosa kubwa sana lisu pamoja na makandokando ameweza kupata kura zaidi ya million mbowe changanya...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu, Lema watangaza mpango wa kurudi Nchini, Lissu ataja kinachomkwamisha

    Unataka urais alafu unakuwa mwoga wa kufa kila cku usalama wkt sasaivi nchi iko salama mm anaupiga mwingi ktk demokrasia na maendeleo muhimu kauli zenu za kutishia serikali muache mara moja Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
  10. S

    JamiiForums Tanzania Membe angefanya kampeni 2020 angepata kura nyingi kuliko Tundu Lissu

    Umerogwa Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
  11. S

    JamiiForums Tanzania Baada ya Membe kusamehewa ni vema Chadema nao Wawasamehe Halima Mdee na wenzake

    Membe ajafanya kosa lolote alifukuzwa kwa matakwa ya magu tofauti wa kina mdee awa ni wasaliti, wamefoji hii ni jinai, pili awajaomba msamaha wala kukiri kosa sasa unawasameheji wt kama hawa Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
  12. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia umewasahau Wastaafu wanaolipwa na Hazina

    Nusu ya mshahara aliostafia Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
  13. S

    JamiiForums Tanzania Tanzania yapokea mkopo wa trilioni 1.2 kutoka Benki ya Dunia. Kuboresha tabia nchi, usalama na barabara

    Kama Kuna uwezekano wa kukopa kopa tu hakuna kuogopa ili mradi zinajenga nchi hata Marekani inakopa sembuse Tanzania
  14. S

    JamiiForums Tanzania CCM: Hatujawahi kumtumia Mbatia amshawishi Selasini na Komu kujiunga nasi wala hatuna ushirikiano na NCCR Mageuzi

    Mbona bashiru ajakanusha kwani yy Alikuwa na cheo gani wkt hayo yanafanyika
Back
Top Bottom