Recent content by semmiri

  1. S

    JamiiForums Tanzania Lowassa anawependa watanzania; Je, watanzania wana mapenzi naye?

    Lowasa ndio kiongozi watanzania wanamuhitaji sio hizi blaa blaaa za sasa hivi
  2. S

    JamiiForums Tanzania Gharama ya Kuandaa, Kusahihisha, na Kutangaza Matokeo Kitado cha Pili

    Hii wizara inamatatizo gani? Mbona kila mara ishu, mara div 5 mara matokeo yasaishwe upi kunani hapa au ndio mawaziri mizigo CDM forever
  3. S

    JamiiForums Tanzania Tanzania rejects EAC single tourist visa plan!

    Well done Sita.
  4. S

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Yaanza Operesheni PAMOJA DAIMA: Helkopta tatu Kutumika!

    Kila la kheri CDM nyie ndio mtakao tutoa kwenye huu uwozo
  5. S

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba: Nini siri ya kupewa Unaibu Waziri wa Fedha?

    Duuuh tunahitaji maombi
  6. S

    JamiiForums Tanzania Je ni halali kwa Baraza la Mawaziri kutangazwa na Katibu Mkuu Kiongozi?

    Swala hili mkuu hakulipa umaanani ndio maana akamuachia katibu mkuu kiongozi but mimi nilitegemea angetangaza yeye nakutoa hutuba ya mwisho wa mwezi ili aongee na watanzania coz walikuwa na hamasa ya kujua kwanini?
  7. S

    JamiiForums Tanzania ITV muwe mnatumia akili wakati mwingine kwenye kipima joto chenu..

    Mimi naona wanataka wajibu watu wengi iliwapate hela zaidi
  8. S

    JamiiForums Tanzania Hodi wana jf

    Mimi ni mtanzania mwenzenu mwenye mapenzi mema na nchi yangu ya ahadi. Naombeni mnikaribishe.
Back
Top Bottom