Recent content by semen86

  1. S

    DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

    Watanzania tukitaka tuwe na umoja tusiwe tunabagua tungekuwa na huruma tungeungana sana na police wetu wengi wamepotea maisha kibiti pamoja na viongozi wengi sana, nao ni binadamu wana familia zao zilizokuwa zinawategemea lakin watanzania hatufanya chochote wala kutoa michango ila leo sababu ni...
  2. S

    DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

    Kuna viongozi wa ccm walipigwa risasi kibiti pamoja na police wengi tu lakin hatukuona rambirambi wala kusema chochote ila lisu sababu yeye ni mbunge ndiyo tuwe mbele kwake haipo hiyo Sent using Jamii Forums mobile app
  3. S

    DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

    Tumeni michango yenu ila nawakumbusha msiwe mnapendelea tungeanza na michango ya kibiti kwanza Sent using Jamii Forums mobile app
  4. S

    DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

    Kwani waliopigwa risasi kibiti sio binadamu mbona hamkusema nao wakatibie nje? Na hata michango hamkuwachangia mngekuwa na huruma mngechanga kwa ndugu zetu wa kibiti Sent using Jamii Forums mobile app
  5. S

    DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

    Lisu na lowasa nani anagombea uraisi 2020? Sent using Jamii Forums mobile app
  6. S

    DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

    Wataisingizia serikar sana wakati wenyewe hata kubadirishana uwenyekiti wanashindwa sasa kwa nini wasiuwane kama wanaona kuna mtu anakiherehere! Sent using Jamii Forums mobile app
  7. S

    DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

    Uliwahi sikia lini ccm ikatangaza mgombea uraisi kabla ya miaka mitatu ya uchaguzi? Sent using Jamii Forums mobile app
  8. S

    Ni nani alitaka kumuua Tundu Lissu?

    Viongozi wa ccm wamekufa kibiti lakin hamkusema ni serikar imewauwa ila leo lisu basi serikar inahusika Sent using Jamii Forums mobile app
  9. S

    Ni nani alitaka kumuua Tundu Lissu?

    Labda magaidi wa kibiti ndiyo walihamia kwa lisu Sent using Jamii Forums mobile app
  10. S

    Ni nani alitaka kumuua Tundu Lissu?

    Kazi yenu kusingizia serikari wakati wenyewe chadema wanatoleana macho urais 2020 na watauwana wenyewe harafu wanasingizia serikari Sent using Jamii Forums mobile app
  11. S

    TAFAKURI: Kwanini Serikali imekataa kugharamia matibabu ya Lissu nje ya nchi?

    Watanzania amkeni kwani lisu hawezi pigwa lisasi na majambazi kwa nini kila kitu mnasema serikar Sent using Jamii Forums mobile app
  12. S

    TAFAKURI: Kwanini Serikali imekataa kugharamia matibabu ya Lissu nje ya nchi?

    Tupoteze hela zetu za serikar kumpeleka nje wakati kuna polic na viongozi wengi wamepigwa risasi kibiti na hamkusema wakatibiwe nje Sent using Jamii Forums mobile app
  13. S

    Uvamizi Clouds: Mkuu wa Mkoa, Nape, Clouds Media na kamati ya Nape wana makosa

    Makonda kawakomesha wanahabari Sent using Jamii Forums mobile app
  14. S

    Uvamizi Clouds: Mkuu wa Mkoa, Nape, Clouds Media na kamati ya Nape wana makosa

    Nimempenda makonda alivyokataa kuomba radhi hata mm ningemdharau angeomba radhi Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom