Recent content by Sema Kweli

  1. S

    CHADEMA yaigaragaza tena CCM, kwenye kesi ya uchaguzi Simanjiro

    Siku za nyuma nilikuja na kichwa cha habari kama hiki na leo nakuja na kichwa hiki kwa muend elezo ya kile kilicho tokea siku zile nilipo kuja na habari ya ushindi wa Chadema kwenye kesi ya uchaguzi simanjiro. Ila leo sizungumzii kesi iliyo pita badi ni kesi dada na iliyo pita,namaanisha kuwa...
  2. S

    CHADEMA yaigaragaza CCM kwenye kesi ya uchaguzi Simanjiro

    Ni wakati wa wanasimanjiro kusema basi kwa adui huyu kwa maendeleo ya simanniro na Tanzania kwa ujumla.Adui namba moja wa wanasimanjiro ni Sendeka na Genge lake na Mwaka huu ni Mwaka wa kumkataa Sendeka na genge lake lote.
  3. S

    CHADEMA yaigaragaza CCM kwenye kesi ya uchaguzi Simanjiro

    Saa ya ukombozi kwa wana simanjiro imewadia.kwa miaka mingi sana wanasimanjiro wamekuwa wakidhulumiwa haki zao za masingi haswa pale wanapo mchagua kiongozi wanae mtaka,kimekuwa na kikundi ambacho ndicho kilicho jiona kama kina hati miliki na simanjiro kikundi hiki kimekuwa na mtandao wao ambao...
  4. S

    CHADEMA yaigaragaza CCM kwenye kesi ya uchaguzi Simanjiro

    Ni kweli kabisa kwani kwenda kudai matokeo mahakamani kwa maeneo kama Simanjiro ilikuwa kama jambo la ajbu sana ila kwa hatua hii ni ishara kwamba ukombozi sasa umewadia sio kwa simanjiro tu bali ni kwa Taifa zima. Kesi hii ni kati ya kesi zingine zinazo endelea kiteto juu ya hujuma mbalimbali...
  5. S

    CHADEMA yaigaragaza CCM kwenye kesi ya uchaguzi Simanjiro

    Habari zilizo tufikia hivi punde ni kwamba chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema wamekigaragaza Chama Cha Mapinduzi kwenye kesi ya msingi ya kupinga kuenguliwa kwa Mgombea wa Chadema katika kijiji cha Narakauwo. Katika hukumu iliyo tolewa na mahaka Wilayani Kiteto ni Mahakama imekubaliana...
  6. S

    Polisi fungeni jicho moja

    Habari za siku wadau. Leo nilikuwa maeneo ya mtowambu kabla sijarejea Arusha nimehudhuria mkutano wa CCM uliokuwa ukihutubiwa na viongozi wa CCM kwa maana ya katibu mkuu,katibu mwenezi na wabunge kadhaa akiwamo Lowasa, Kama kicha cha habari kinavyo jieleza hapo juu hayo ni maneno ya katibu...
  7. S

    Halmashauri kupitisha sheria ya kodi ya mashamba

    Salaam kwenu wana jukwaa hilii la sheria nimekuja kwenu kwa mara kwanza kabisa nikiomba msaada wenu wa kisheri kuhusu halmashauri inapo pitisha sheria ya kudai kodi kwa wakulima wadogo wa vijijini bila hata kuwashirikisha kwenye mchakato wa uanzishwaji wa kodi husika. Sina maana hapa kuwa...
  8. S

    Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumatano, Trh 16 Aprili 2014 - Majadiliano ya bunge zima sura ya 1 & 6

    Ndungu zangu wangu watanzania kwanza kabisa niseme pole yetu kwa kuwa matarajio yetu ya kupata katiba mpya yanazidi kuyoyoma,nasema yanazidi kuyoyoma kwa kuwa sote tunaona staili mpya ya wawakilishi wetu kuwa wameanzisha mashindano ya mashairi na sio kujena hoja tena,kama nilivyo sema hapo juu...
  9. S

    Anaeuza Nta tafadhali, inahitajika.

    Upo wapi unanunua kwa bei gani?
  10. S

    Nani mmiliki wa katiba iliyoko kati ya nchi washirika?

    Habari za asubuhi wana Jamii Forum. Nimekuja na swali hilo nikiamini kuwa wote tunaona ama tunasikia mambo yanayo endele ndani ya Nchi yetu kwenye mchakato mazima wa mabadiliko ya katiba,tunajua pia ama tunasikia pia kelele nyingi sana zinazo toka kila pembe ya Nchi yetu kwa kila mmoja akisema...
  11. S

    Live Updates: Uchaguzi wa Kata nne Arusha tarehe 14 July 2013

    Watu wa Arusha pamoja na siasa za chuki na uchonganishi zilizo kuwa aikiratibiwa na viongozi wasio na aibu wala haya wa ccm hatimae wameonyesha ukomavu wao wa siasa baada ya kukataa propaganda za viongozi wa ccm. Kama wasemavyo waswahili dalili ya mvua ni mawingi ni wakati sasa wa ccm kujua...
  12. S

    Ugaidi unaosemwa Tanzania ni kivuli kinachoishi na kula

    Natoa ushauri ufuatao kwa mamlaka husika kutokana na ukweli kuwa kesi hizi sio njema kwa mustakabali wa taifa letu na hasa kuhusiana na utalii kwani wenzetu wa Afrika ya Mashariki wameanza kampeni kabambe ya kusambaza taarifa huko wanakotoka watalii na kueneza taarifa hizi za kesi za Kigaidi...
  13. S

    Ugaidi unaosemwa Tanzania ni kivuli kinachoishi na kula

    Habarini wana jamvi wote leo nimekuja na mada isemayo Tanzania na siasa za ugaidi na hasara za jina hili ugaidi. Ndugu zangu watanzania wenzangu niseme tu kuwa huwa ninasikitia sana na aina hii ya siasa kwa kuwa ni hatari sana kwa mstakabali wa umoja wetu kama watanznia napi kwa musyakabali wa...
  14. S

    Mwigulu toka Bungeni: CHADEMA ndio waliolipua bomu mkutanoni kwao

    Huyu kachanganyikiwa baada ya kuona nakwenda kuumbuka,anadhanikwa kuwa yeye alipanga kutengeneza ile ya Lwakatare basi wote wako kama yeye.nimewahi kusema kama kuna mtu kwa sasa ambae ni hatari kwa nchi hii basi ni huyu jamaa,huyu jamaa anaweza kusema jambo ambalo linaweza kukushangaza kuwa huyu...
  15. S

    Lukuvi, ripoti yako bungeni imekaa kishabiki badala ya kuangalia tatizo

    Haiwezekani uratibu wewe tukio halafu utoe zawadi ya kufanikisha kukamatwa kwako,huu ni unafiki na watanzania sio wajinga kiasi hicho,labda tujiulize zawadi ngapi zilizo tangazwa kuwakamata wahalifu na mpaka leo hazija fanikiwa? Mauwaji ya kada wa chadema usa river tulisikia zawadi hakuna...
Back
Top Bottom