Njia ambayo iko vizuri ni Facebook Ads tu. Haichagui lugha wala kitu kingine. Na AdSense ilikuwa tamu zamani, lakini sasa hakuna mtu anayepata pesa na AdSense akitarajia watazamaji kutoka Tanzania. Tunafanya hivyo kwa kujenga tovuti au programu, kisha tunazifanya zisionekane nchini Tanzania...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.