Recent content by selemani maige

  1. S

    Wasomi na wachambuzi wa kisiasa juu ya Magufuli BBC

    Hakuna namna yoyoteymtaangalia, ni kujiandaa ki saikolojia tu mjue mnasindikiza magufuli kwenda ikulu, ukizingatia mgombea mlienae anaongea kwa mafungu kama ndondocha, mwaka huu kuna vituko kweli watu wanasifu mpaka mvi za mwizi hii kweli hatariiiiii
  2. S

    UDSM: GPA ya Maalimu Seif Sharifu Hamad

    Kazi yenu ni kumsifu kila aliye ukawa, huyo kasoma kozi moja na uncle wangu, ni wa kawaida sana japo alipenda unafiki tangu chuo
  3. S

    Wapenda mabadiliko tuwe makini na wachambuzi wanaoeneza propaganda

    Dunia nzima ukifika wakati wa uchaguzi lazima kuwe na uchambuzi ili kupitia vyombo vya habari wananchi wawajue vizuri wanaetaka kumchagua, tatizo lenu mnataka wachambuzi waongee upuuzi mnaotaka bila kujua maslahi mapana ya wananchi. Hatuwezi kuvumilia mambo ya kuendelea kufunika uozo wa mgombea...
  4. S

    Kanda ya Ziwa ni Lowassa

    Acha kuropoka mkuu, kanda ya ziwa gani wanawezakuacha kumchagu magufuli wakamchagua lowasa, hatuwezi kufanya upuuzi unaoufikilia, hatuko tayari kupoteza fursa, ungeuliza wananchi usiniletee mambo ya semina, ulitokea wapi kuja mwanza kwenye semina? Au kilimanjaro nn?
  5. S

    Zitto, Shika lako, ya wengine waachie wenyewe! Epuka kumtaja Lowassa kwa ubaya!

    Pole mkuu zzk ni mwanasiasa makini, jasiri, shupavu, na muadilifu, sio hao ndondocha dj na wenzake, mtasubili sana hakika huyu mwizi ni lazima ashughulikiwe ili uma wote ujue kabla ya kufanya maamuzi kinawauma nn? Subilini dawa iwaingie
  6. S

    Picha: Tofauti kati ya Magufuli na Lowassa wakati wa Uchukuaji wa Fomu za Urais

    Naona mna bidii sana kuhakikisha mnapotosha uma kwa kufafananisha misafara wakati wa uchukuaji fom, Rais magufuli bado ni waziri ana kazi nyingine za Kiserika hawezi kukaa ana ratibu maandamano kama huyo mwizi wenu, tutaona na kusikia mengi kutoka kwa huyo mwizi, hakika nawaeleza final October...
  7. S

    Kilichojiri uchukuaji wa fomu ya mgombea Urais kupitia UKAWA-Lowassa

    Pole kwa matumaini mkuu, tuombe uzima October tuwepo magufuli atawashangaza, faraja ni kuwa lowasa atapandisha nguvu ya upinzani kwa maana ya wabunge, ni jambo jema kwa nchi inayoemdelea kama hii, ila ikulu please ni ya magufuli mkuu, poleni sana ukawa
  8. S

    Kilichojiri uchukuaji wa fomu ya mgombea Urais kupitia UKAWA-Lowassa

    Nina wasi wasi kama ulikuepo 1995 mambo yalikuwa zaidi ya Haya mkuu itabaki kuwa historia kama mrema, mwisho wa siku hakika magufuli atachukua nchi amini nakuambia,
  9. S

    Zinduka: Siasa inanunua watu, Polepole naye kanunuliwa

    Ni aibu kwa mtu kama wewe ambae watu tena ukawa wanakuamini kupotosha uma kwa kiasi kikubwa kama hivi, yaani umeandika matapishi tena ya ngurue sijui chadema walikuokota wapi, juzijuzi ulipotosha kuhusu Dr. Slaa akakuijia Juu ukafunga hilo domo lako umeibuka tena kuhusu lipumba, mbona unakosa...
  10. S

    Zaidi ya watu 300 Monduli wachoma kadi za CCM na kujiunga CHADEMA

    Asante sana mkuu naona umepanic sikushangai ugum wa maisha na kufikili mafanikio mtayapata kwa kukaa vijiweni kuimba na kushabikia jina la El, kutawagharim sana nyumbu nyie shwainnnnnnnnn
  11. S

    Zaidi ya watu 300 Monduli wachoma kadi za CCM na kujiunga CHADEMA

    Juu ya wizi na tuhuma za kununua kiongozi la nyumbu, mbowe na baadhi ya wapambe wake
  12. S

    GE2015 Hongereni tena Segerea: Nina furaha tele na sijatetereka

    Angehama tungesikia mara oo kanunuliwa mara oo sijui katumwa, kweli vijana bavicha njaa 4u,hamnazo
  13. S

    Edward Lowassa kuchukua fomu ya Urais ofisi za NEC Jumatatu tarehe 10 Agosti, 2015

    Peleka uchawi wako huko mie nalindwa na mwenyezimungu, sishobokei mafisadi majizi yanayohangaikia kusafishwa na watu yaliyowanunua, hakika kabla ya kampeni kuisha yatakuwa yamesha umbuka.
Back
Top Bottom