Recent content by Selemani kahamis

  1. S

    JamiiForums Tanzania Naomba kusaidiwa haya kuhusu Online TV

    Brother computer virus hakika nayachukua hayaa kabisa na siku nitakutafuta ndugu na Kama waweza nitumia mawasiliano sio mbaya nina ndoto kubwa ya acha alama kwenye Tasnia yangu kuitangaza Brodher salute sanaa.
  2. S

    JamiiForums Tanzania Naomba kusaidiwa haya kuhusu Online TV

    Sivo ulivo ona ndugu upo tofauti kabisa na mawazo yangu madam hatufamiani tuyaache humumu tu
  3. S

    JamiiForums Tanzania Naomba kusaidiwa haya kuhusu Online TV

    Daaa nashukuru sanaa kiongozi tena sanaa namba 4 nilikua naamanisha wataalamu kwamba wa habari yani staki niwe na ilimradi chanel nataka iwe bora na ya kuaminika
  4. S

    JamiiForums Tanzania Naomba kusaidiwa haya kuhusu Online TV

    Ndugu zangu naomba msaada: 1. Jinsi ya kufungua online TV 2. Jinsi ya kupata pesa kupitia Online TV 3. Ni aina gani ya vifaa vizuri vya kutumia na wingi wake. 4. Ni aina gani ya watu wakuendesha hii kazi na wingi wake 5. Maudhui yangu kufungua online TV ni kuitangaza moja ya Tasnia hapa nchini...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Tanzania Labour Law (Sheria ya Kazi Tanzania)

    Habari wakuu Sheria ipoje ikiwa mfanya kazi kaacha kazi baada ya kumaliza likizo lakin yupo ndani ya mkataba an vp swala NSSF kwa tajir kutoa barua na kutotoa barua no amri yake? Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom