Recent content by selemani gongo

  1. S

    CHADEMA wachukua Fomu za Kugombea Ubunge Majimbo Mawili. Salum Mwalim Juma (Kinondoni) na Elvis Christopher (Siha)

    Apo ninaposhindwa kuilewa chadema majimbo yote mlisusia uchaguzi haya majimbo mawili wanaweka wagombea ususani kinondoni c wangewaachia kama wao kweli wapenda ukawa ......naona kuanzia mashabiki wa chadema na viongozi wao wanaficha ukweli juu ya ukawa nani mnufaika baina ya vingne pamoja na chadema
  2. S

    RC Mrisho Gambo asema makanisa ya Kakobe yachunguzwe, isije ikawa ni wakala wa Shetani!

    Brother gambo, hawa wakristo wameipiga ii ngoma na wataicheza wenyewe we kaaa kimya kama mwenzako wa dar
  3. S

    Polepole apingana na tamko la Serikali, asema viongozi wa dini waongee siasa

    Ushauri kwa wana ccm,hii nafac ya mpolepole apewe mtu mwingine kwani yy imemshinda...mana atakulizungumzia suala dogo anatafuna maneno.
  4. S

    Tunamshambulia na kumponda sana, ni haki yetu ya kikatiba lakini tunavuka mstari wa ustawi wa nchi yetu

    Katika marais wapole uyu ni mpole kweli, kuliko mtangulizi wake uyu kamfunga nani mpaka sasa,lakn aliyepita ameshawafunga watu kina basil mrmba.Daniel yona ,na wengne wamenusurika kina mahalu..so kwambii Dr ulimboka na usisahau wa mtwara. .uyu kamfanyia nani...wanaosema uyu ni mkali kufuata...
  5. S

    Kama Rais Magufuli anaua Upinzani, kwanini Wananchi wako kimya?

    Rais haui upinzani ila upinzani unajiua..... Labda nikuulize we ktk vyama vyote vya upinzani kipi umeona chama cha kweli cha upinzani
  6. S

    je waislam wanaweza kuishi kwa aman na dini nyingine bila ugomvi?

    Waslam wanaishi kokote kwa amani,na waislam wapenda amani na haki.mf Hapa nchini wakitawala wakristo kila sehem vilio na majina mengi ujitokeza,unga wa njano..funga mkanda. Ukapa...lakn wakitawala waislam kila sehem furaha na majina mengi matamu uwaita mzee wa ruksa.mzee was kuchekacheka...na...
  7. S

    je waislam wanaweza kuishi kwa aman na dini nyingine bila ugomvi?

    Uislam ni dini ya amani ata watu wake wa amani.mfn. hapa nchini wakitawala wakristo kila Mtu analia na kutoa majina mbalimbali unga wa njano, funga mkanda, ukapa, vyuma vimekaza..lakin akitawala muislam kila sehemu furaha na majina mengi yanaibuka mzee wa ruksa.. Mzee was kuchekakucheka na nk...
  8. S

    Tuongee asubuhi na Albert Msando! Mada: Hama hama ndani ya vyama vya Siasa. Je, ni kukua kwa demokrasia au ni rushwa?

    Msando anachokifanya ndicho kilichompeleka...kwan vijana wengi wa ccm wameshindwa kujibu hoja badala yake wanapiga picha na migwanda bila ya kujibu...namuona msando wa kesho akichukua nafac ya mpolepole asiyejua kujibu hoja za wapinzani
  9. S

    Tuongee asubuhi na Albert Msando! Mada: Hama hama ndani ya vyama vya Siasa. Je, ni kukua kwa demokrasia au ni rushwa?

    Anachofanya msando vijana wa ccm wengi wamekosa kama sio wote..msando anajibu hoja.anasema anachokiamini juu ya ccm lakn uvccm wamekosa kazi yao kupiga picha na magwanda ya chama.....namuona msando kuchukua nafac ya mpolempole asiyejua kujibu hoja...kwa iyo msimlaumu iyo ndo kazi iliyompeleka...
  10. S

    Ina maana Kikwete alikuwa hana macho au na yeye alikuwa mpiga dili?

    Kikwete alikuwa makini sana ktk kujenga kuliko kulalamika...uwanja ndege terminal 3..bunge.makao makuu tanesco.mroganzila.kupandisha mishahRa.udom.flyover..barabara nk.au hayo madogo
  11. S

    Ina maana Kikwete alikuwa hana macho au na yeye alikuwa mpiga dili?

    Naomba uulize ile meli mbovu MV bagamoyo..uuzwaji nyumba za serikali na ujengaji wa hostel mvovu...kikwete hajamuhajibisha ata mtu mmoja au ilo haukuona
  12. S

    Hivi ni kwanini CCM inachukiwa sana mitandaoni? Imekosa nini?

    Vijana wengi wanaoichukia ccm ni wanafk..wanaichukia ccm mtandaon lakn mfukon wana kadi za ccm..mfano. Albert msando.mpolepol wote walikuwa wakwanza kuiponda ccm Leo wako wap....kwa iyo vijana wanaiponda kinafk ccm
  13. S

    Nahitaji mwanaume anayefaa kuwa mume

    Uo ubaguzi wako ndio umekufikisha apo....tulia watu wakuchague sio we kuchagua
  14. S

    Nahitaji mwanaume anayefaa kuwa mume

    Unahitaji mwanaume alafu unachagua..we tulia alaf wakuchgue...mana ubaguz wako ndo umekufikisha apo
Back
Top Bottom