Recent content by Selemani Charahani

  1. S

    Kushambuliwa kwa Mbowe: Polisi wasema wanaendelea na Uchunguzi, wapiga marufuku tukio hilo kufanywa la kisiasa. CHADEMA yamuhusisha Mchungaji Mashimo

    Nashauri fedha ambazo zitatengwa kufanyia uchunguzi zielekezwe kukabiliana na janga la corona kwani Mheshimiwa spika alikwisha kamilisha uchunguzi kwa kuwatuma madaktari wake ambao walimthibitishia kuwa Mh Mbowe alikuwa amelewa chakari akateleza kwenye ngazi na kuteguka kidogo kwenye kifundo cha...
  2. S

    Kushambuliwa kwa Mbowe: Polisi wasema wanaendelea na Uchunguzi, wapiga marufuku tukio hilo kufanywa la kisiasa. CHADEMA yamuhusisha Mchungaji Mashimo

    Kama ni mpango basi sawa na magaidi ambao hujilipua . Ni ujasiri wa hali ya juu mtu kupanga uvunjwe miguu kisa kutafuta nafasi ya uongozi . Hebu wewe tukuahidi ukatwe kidole komoja tu cha mkono halafu upewe kuitawala dunia
  3. S

    Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Nitazungumza na Taifa Jumatatu, 8 Juni, 2020 kupitia Facebook Live Streaming | 14:00 EAT 13:00 CET 7:00AM EST (USA)

    Mnatuchanganya humu ndani , tukamsikilize nani Mtawalala au Mwanasiasa na nadhani itakuwa ni wakati mmoja. Inanikumbusha yale maaandamano ya ukuta na zoezi la usafi wa jiji
  4. S

    Bunge lataka Serikali imchukulie hatua Dkt. Kigwangalla kwa matumizi mabaya ya fedha alizowagawia wasanii

    Kongole kwa Dr , kwani uhamasishaji wake umekuza pato la taifa kupitia sekta ya utalii
  5. S

    Hiki kiburi, jeuri na dharau Prof. Kitila Mkumbo nguvu anaipata wapi

    Sisi tusiokua kati ya makundi hayo mawili mnatuweka wapi maana ndiyo leo nayasikia
  6. S

    Uchaguzi 2020 Nasubiri wasusie Uchaguzi Mkuu

    Hakuna haja ya kususia uchaguzi , waingie katika mapambano nguvu zao za ushindani zipimike
Back
Top Bottom