Recent content by Sekretarieti ya Ajira

  1. S

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Kila la heri na tukutakie maandalizi mema. Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma inafanya kazi kwa Uwazi na Weledi kwa kuzingatia Sheria, taratibu na kanuni.
  2. S

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Tumepokea ila Placement zinaendelea kufanyika. Tembelea www.ajira.go.tz kuona zaidi
  3. S

    JamiiForums Tanzania Hatua ya Pili ya Mchakato wa Ajira ni Kuandaa Tangazo la Kazi

    - Tangazo la kazi huandaliwa kwa kuzingatia sifa kwa mujibu wa Muundo wa kada husika uliowasilishwa na Mamlaka ya ajira husika. - Tangazo pia huzingatia masharti ya jumla yanayotolewa na Sekretarieti ya Ajira ambayo yanatafsiri Sera, Sheria Kanuni na Miongozi mbalimbali inayohusu michakato ya...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Nini maana ya mchakato wa ajira?

    Kwanza hapo unafahamika kama VEO, fanya utaratibu ubadilishiwe usomeke kama unavyotaka na hii ni kwasababu ya cheki namba. Pia muajiri wako lazima aridhie kuhama kwako na kule unakotaka kwenda kuwe na nafasi
  5. S

    JamiiForums Tanzania Nini maana ya mchakato wa ajira?

    Asante kwa Ushauri lakini sahihi ni muhimu sana kwani inasaidia endapo kuna changamoto itakuwa imetokea katika eneo la Usaili au katika usahihishaji.
  6. S

    JamiiForums Tanzania Nini maana ya mchakato wa ajira?

    Hivi karibuni, ndio yanafanyiwa kazi
  7. S

    JamiiForums Tanzania Nini maana ya mchakato wa ajira?

    Mchakato wa ajira ni utaratibu wa kupata mtumishi wa kumwajiri. Mchakato huu unaanza katika hatua ya kupata kibali cha ajira, kutoa tangazo la ajira, kupokea maombi ya kazi,kufanya uchambuzi wa waombaji kazi ili kupata wale waliokidhi vigezo, kuita waombaji katika usaili, kuendesha usaili...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Tunapokea maoni na mahitaji ya mfumo wa kielektroniki wa kufanya usaili wa kuandika (ONLINE APTITUDE TEST SYSTEM)

    Hapo ndipo ulipo kosea. Siku zote uwe makini na lugha ya mawasiliano kwa watu sahihi na wakati sahihi
  9. S

    JamiiForums Tanzania Tunapokea maoni na mahitaji ya mfumo wa kielektroniki wa kufanya usaili wa kuandika (ONLINE APTITUDE TEST SYSTEM)

    Karibu Maneno. Kwenye website kuna nafasi za ajira zimetangazwa. Jiunge na Ajira Portal jisajili ili uweze kuingia katika mchakato. Chamsingi ni kujiamini tu kuwa unaweza
  10. S

    JamiiForums Tanzania Tunapokea maoni na mahitaji ya mfumo wa kielektroniki wa kufanya usaili wa kuandika (ONLINE APTITUDE TEST SYSTEM)

    Sawa, asante kwa Ushauri. Kwa mfumo huu hata watu wa nje watakuwa na nafasi. Tulikwisha anza kufanya usaili kwa watu walio nje ya Tanzania ila si kwa kiwango kikubwa. kwasasa tunaandaa mifumo wezeshi ili kila mtu awe na nafasi ya kufanya usaili popote alipo lengo likiwa ni kupata kilicho bora...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Tunapokea maoni na mahitaji ya mfumo wa kielektroniki wa kufanya usaili wa kuandika (ONLINE APTITUDE TEST SYSTEM)

    Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma hivi karibuni inatarajia kuendesha usaili wa kuandika kielektroniki. Hivyo imeandaa mikutano ya kukusanya maoni na mahitaji ya mfumo wa kieletroniki wa kufanya usaili wa kuandika (Online Aptitude Test System). Mikutano hii itafanyika katika vituo...
Back
Top Bottom