Recent content by sekekama-the king

  1. S

    Botswana: Rais Masisi kuhutubia taifa wiki hii juu ya mwenendo wa janga la Corona

    Rais wa Botswana Dr Masisi ametangaza kuhutubia taifa week hii kueleza hatua inayofuata katika kupambana na ugonjwa wa Corona. Tetesi zinasema Rais huenda akafungulia curfew iliyokuwa imewekwa tangu January mwanzoni ya kutotembea kuanzia saa moja usiku wengine wanabashiri huenda akaruhusu bar na...
  2. S

    Habari zenu, natoka Botswana nawasalimu sana

    wanawake ni Wengi sana huku, asilimia 60 ya mature ladies ni single.
  3. S

    Habari zenu, natoka Botswana nawasalimu sana

    Kwa bahati mbaya Botswana hatuna mfalme, tuna Rais anechaguliwa kidemokrasia kila baada ya miaka 4
  4. S

    Habari zenu, natoka Botswana nawasalimu sana

    Katika pitapita zangu rafiki yangu amenionyesha mtandao wa JamiiForums. Nimeupenda sana kwa taarifa zenu ambazo ni up to date. Nimejiunga nanyi leo natokea Gaborone Botswana Kl 350 to Johannesburg. Nimeishi hapa miaka mingi sana na nimekuwa kama mzawa wa hapa. Asanteni sana
Back
Top Bottom