Voda mnamatatizo sana ktk mtandao wenu na pia tengenez system ambayo km mtu akikosea kutoa pesa kwa m-pesa akanunua muda wa maongez inabid airudushe kwa m-pesa, hebu jitahid ktk hilo swala ht km haiwalip ila mtajiboreshea kaz na mtatuokoa na hilo janga
Sa mnahis hapo tutafanye wananch km hali ndo hiyo? ama Rais atachukua uamuz gan ktk hilo ama atawabadirisha wizara km kawaida yake?
Mm naona wanajiandaa na kampen ya mwakan sa wanatengeneza pesa2, So what we gonna do about dat?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.