Ni kweli Mheshimiwa Presda JPM lazima waoneshe kwamba wanania ya mazungumzo ili kumaliza mgogoro uliopo kuliko kukaa kimya huku wanaendelea kuchimba madini yetu.
Sio rahisi sana watanzania wote wakawa kama uniform za shule flani, hata siku moja maisha ya mwawanadamu hayawezi kuwa sawa. Tangu zama za manabii walikuwepo masikini na matajiri. Kikubwa ni wazazi kujua wajibu wao na kuwalea watoto wao kulingana na hali ya maisha waliyo nayo.
Namuunga mkono Mheshimiwa Rais JPM katika suala hili.
Vyovyote vile mtu anaeweza kuitafsiri kauli ya Mh Rais JPM ya kupinga watoto wa kike wanao beba mimba wakiwa shuleni kuendelea na masomo kwa jinsi yoyote ile anayoiona katika kafakuri yake. Yupo anaweza kuona kwamba ni kitendo cha...
Ni muda mrefu sasa tangu matukio ya mauaji yaanze kutokea katika maeneo ya Kibiti, mwazo ilionekana kama mchezo mchezo hivi lakini kadri siku zinavyo zidi kusonga mbele inaonekana tatizo hili linaendelea kukua na maisha ya watanzania wenzetu yanazidi kupotea bila sababu.
Muda umefika sasa...
Mimi sio mtetezi wa chama na serikali yake isipokuwa naona ushindi kwa wanyonge kwasababu hilo lilikuwa azimio la bunge ambalo bahati mbaya maamuzi yake yamechelewa kufanyika
Huu ni ushindi kwa wanyonge kwa sehemu kubwa haijalishi matokeo hapo mwisho yatakuwaje lakini ni hatua nzuri na inayohitaji kupongezwa. Uhujumu ni kosa kubwa zamani enzi za mwalimu watu wenye makosa hayo walikuwa wanachezea kuzuizini mpaka wanasahaulika uraiani.
Najua bado kunatatizo katika...
Ni jamb
o jema
Ni jambo jema sana kama bwana Harbinder Singh Sethi na mwenzie James Lugemalila wanaweza hata kupiga magoti leo huo ni ushindi mkubwa kwa wanyonge. tuache kubeza hili picha sio la kihindi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.