br umetumia busara nyingi sana kujibu swali lisiloulizika, nadhan angeuliza watu wanaojulikana sana kwa jamii maana ukimpa orodha yako nami yangu anaweza akaona kua ameuliza kimakosa
Najiuliza kwa dhati kabisa,ni wapi tunapata ujasili wa kuyatamka haya?kwa wenye bahati tuliofika burundi na rwanda tukajionea hali ilivyokua,basi tunaomba mungu mwenyezi atuhurumie na atusamehe kwa haya yote pengine ni kutokujua athari za maneno yasiofaa juu ya imani za dini zetu,hebu kila mmoja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.