Recent content by Section 20

  1. Section 20

    JamiiForums Tanzania Uzoefu wa biashara ya juisi ya miwa; Changamoto na ushauri

    Ina maana zinazo uzwa na SIDO ni feki mkuu. Naomba uni dadavulie hapo ili nifanye maamuzi sahihi
  2. Section 20

    JamiiForums Tanzania Uzoefu wa biashara ya juisi ya miwa; Changamoto na ushauri

    Tupia picha tuione Chief
  3. Section 20

    JamiiForums Tanzania Uzoefu wa biashara ya juisi ya miwa; Changamoto na ushauri

    Ndugu wana Jamvi Poleni na majukumu ya hapa na Pale. Naomba ushauri wenu kuhusu biashara ya kuuza juice ya Miwa kwa Mikoa ya Pwani.Ningependa kujua changamoto zake na Faida inayopatikana lakini pia Mashine inayotumia Umeme kukamua Miwa inauzwa wapi na ni shilingi ngapi....? Naomba kuwasilisha Wadau.
  4. Section 20

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu biashara ya Kuuza Reem Paper

    Jamani wana Jamvi naomba ushauri wenu kuhusu biashara ya kuuza reem paper kwa bei ya jumla. Naomba kujua inalipa kwa kiasi gani na changamoto zake ni zipi.
Back
Top Bottom