Section 20
New Member
- Mar 21, 2016
- 4
- 2
Jamani wana Jamvi naomba ushauri wenu kuhusu biashara ya kuuza reem paper kwa bei ya jumla. Naomba kujua inalipa kwa kiasi gani na changamoto zake ni zipi.
Ni biashara nzuri changamoto ni solo coz wauzaji ni wengi.Jamani wana Jamvi naomba ushauri wenu kuhusu biashara ya kuuza reem paper kwa bei ya jumla. Naomba kujua inalipa kwa kiasi gani na changamoto zake ni zipi.